min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,437
- 127,787
4 shua rasi wangu mzuri kile chuma usifute kamwe🤔😁 nakuamini Ras☺️
4 shua rasi wangu mzuri kile chuma usifute kamwe🤔😁 nakuamini Ras☺️
Umepoa kishua sana Mangi 🤩🤩!Hii picha nimekaa kihuni?
Hahaha nasifuti , acha nipost za kuwapa kisukari kabisa🤣Umepoa kishua sana Mangi 🤩🤩!
Siyo shida zako Mangi, acha sukari zipande tu 🤣🤣🤣Hahaha nasifuti , acha nipost za kuwapa kisukari kabisa🤣
🤣🤣 umeposti kishambenga sana madam hii sikubaliani nayo😇Siyo shida zako Mangi, acha sukari zipande tu 🤣🤣🤣
Una rangi adimu mkuu
Kwako mshamba_hachekwi sema neno 😂😂🦅Mwenyekiti ebu yataje hapa? Na mimi sifuti kabisa
Ngoja tuoneKwako@mshamba_hachekwi sema neno
Wewe nimekufukuza kule umekimbilia huku ,shauri zako jukwaa hili kila mtu ana mpenzi wake sasa wewe leta nyege zako wakupigishe ban na utoto wakoUnaonekana ni mrembo ata ukificha macho
🤣 🤣 Sasa umeniandika kishambenga shambenga nitakujibuje kavu kavu mwanakwetu 🤣🤣🤣🤣 umeposti kishambenga sana madam hii sikubaliani nayo😇
Mie nipo kabisa.Umepotea sana
naona kabisa mlegeKwako mshamba_hachekwi sema neno 😂😂🦅
Anhaaa tena4 shua rasi wangu mzuri kile chuma usifute kamwe🤔
Wacha wee 😊, shukran Mkuu 🙏Una rangi adimu mkuu
No sisi ni marasiiUnanijaza 🤣🤣🤣🤣