Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,927
Kwani una mademu wangapi wameenda hewani? 😹😹twiga ndio yupi?
Kwani una mademu wangapi wameenda hewani? 😹😹twiga ndio yupi?
Oya hebu achana na mimi basi,, arrghh usi jifanye ka una nijua kivileAchana nae.wifi yako hapa mtata kinyama inabidi kaka yako akaze.anafanya kama hanifaham akat ananijua haswaa
oya long time Sana😂😂Kwani una mademu wangapi wameenda hewani? 😹😹
Pacha elewa basi, hao ndio mashekhe wale wale kwenye kanzu mpyaKumbe mnajuana? 😹😹😹
Basi tuwekee sisi tusiokujua ndugu wa mume wifi 😍
Ushajaa nyembe😂😂😂Oya hebu achana na mimi basi,, arrghh usi jifanye ka una nijua kivile
Unasema red carpet umeshandika my wangu Ili nijeChino usinitoe kwenye reli selfika 😹😹
Ushamjua sasa? 😹😹oya long time Sana😂😂
😹😹😹😹 Muache wifi basi aselfike mbona hivyo..!!Pacha elewa basi, hao ndio mashekhe wale wale kwenye kanzu mpya
Tayari haya selfika beibeeeyy 😍😍Unasema red carpet umeshandika my wangu Ili nije
😹😹😹😹 Muache wifi basi aselfike mbona hivyo..!!
😹😹 Mi nikajua umeselfika
Suu kwa niaba😃😃
😜😂😂My Tayana-wog njoo uone wanavyozungushana huku, shemeji hataki kuselfika tuone T3 😂
Yaani nilikaa siku moja nikakumbuka nilicheka jmn😹😹😹
Em mruhusu nimuone kwanza, isije kuwa ya yule aliyesemaga yupo USA kumbe yupo mbalali..!! 🤣
Ila JF haiishi vituko..!!
😹😹 Mi nikajua umeselfika
Akafie mbele 🦅😹😹😹😹 Muache wifi basi aselfike mbona hivyo..!!
Humu vichaa wengi, na wewe yangekukuta ya Marry kukutana na saidia fundi..!! 😹😹Yaani nilikaa siku moja nikakumbuka nilicheka jmn
Jf noma
Eti Yuko us na picha anaweka za watu 🙌🙌😂😂
😂😂😂😂Angenipata wapi ss 🏃🏃🏃🏃🏃Humu vichaa wengi, na wewe yangekukuta ya Marry kukutana na saidia fundi..!! 😹😹
Yule jamaa mkavu kweli shenzy zake..!! 🤣
😍😍😍View attachment 3415026
Sina pic mpya...