Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,931
Uongo 😹Nimepita kama radi tyr
Rudia chap nione uumbaji, mwenzio skeleton ila najikubali hatareee 🤣
Uongo 😹Nimepita kama radi tyr
😹😹😹hahaa...
Ungejichanganya tu, angekukoboa, ukabaki pumba tu.😂🤣
Ewaaa😻Saint Anne nkamu wangu njoo utupie pics za cake nataka nimzawadie mtu huku..!! 😹
Nkamu cake nzuri inaonekana pia traamu 😋😍Ewaaa😻
Haya ndio maneno nkamu
Niambie pisi Kali wangu...Mtabiriiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙊!
Nakumbuka tu utabiri wako love basi nacheeeeeeeekaNiambie pisi Kali wangu...
Hiki ni nini?Chef wangu Mwachiluwi njoo u-guess tunapika nini leo.
View attachment 3409034
View attachment 3409036
Nyanya zilizoiva ile ile 🤣 🤣Hiki ni nini?
Mbona zimekatwa kubwa kubwa hiviNyanya zilizoiva ile ile 🤣 🤣
Zitasagwa zikiivaMbona zimekatwa kubwa kubwa hivi
Mahi tupia mshepu wako tena kwanza ujue bado naufikiria 😍😍Chef wangu Mwachiluwi njoo u-guess tunapika nini leo.
View attachment 3409034
View attachment 3409036
Na wewe tupia lamoMahi tupia mshepu wako tena kwanza ujue bado naufikiria 😍😍
Tupia wako kwanzaMahi tupia mshepu wako tena kwanza ujue bado naufikiria 😍😍
Babu unakunywa nini? 😋