Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Maka yani nimerudia kusoma tena nacheka km chizi ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Wavuta wida wote peponi..!! ๐Ÿคฃ
Tutakuwa na wanetu, bob Marley, 2pac, Peter tosh na jamaa zetu wemgine

๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Usitumie koment yangu kufanyia dhambi, nami nikapata dhambi bila kufaidi.. kama dhambi ni bora jiifanye kweli ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

We unawajua mademu wa siku hizi, utamu wanautaka na pesa wanaitaka..
Ukishatuma pesa, hairudi hiyo.
Utapata ofa tu,
1. Siku yeye anautaka utamu,
2. Umemiss, anaweza kuja kukupa bure
Ila nawe unajiongeza, akikutunuku bure mara 3, mara 4 basi ya 5 unampa kifuta jasho.

Mwanzoni lazima umpe hela mpaka pale ajue siri iliyojificha ndani ya BOXER ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Hapa ndio mtaenda sawa, pesa yako itakuwa chaguo la pili, cha kwanza utamu, ila ukimpa pesa halatai, na ukiwa huna anakupa bure bila masimamgo.
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Hii lazima niitendee dhambi inanyegesha bhana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Naimagine ndo umenikunja kweli sasa, mbona balaa sana..!! ๐Ÿคฃ

Em selfika maka kwanza nikuone bhana..!!
 
Hii lazima niitendee dhambi inanyegesha bhana..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Naimagine ndo umenikunja kweli sasa, mbona balaa sana..!! ๐Ÿคฃ

Em selfika maka kwanza nikuone bhana..!!
Huwezi amini, mie ni mvivu wa kupiga picha kinooma...
Hata kwenye mitandao yangu ya kijamii, nina kauvivu.
Instagramara ya mwisho kupost tena picha yangu ilikuwa ni miaka mingapi sijui nyuma. Kama 2023 hivi na picha yenyewe ni ya 2020 kama sikosei
 
Umeanza visababu ๐Ÿ˜ž
Nipe handle nikakuone basi ๐Ÿ˜œ
 
Maish mafupi haya, kula wida, akili ikae sawa.
Umenikumbusha kulikua na roommate wangu alikua anakula wida vibaya, nikimuomba nipige pafu moja anasema wewe kwa hizo akili zako utatupa kituko cha mwaka tujikute kwa milladayo..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Alikua pisi ya moto shida yake mkoboaji bhana..!! ๐Ÿ˜ฅ
 
hahaa...
Ungejichanganya tu, angekukoboa, ukabaki pumba tu.๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom