Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

baMtu tuanze taratibu, kisa cha kubadili ID ni nini?
Umeharibu wapi?
😅😅 hamna nilicho haribu maMtu, nilibadilisha simu, pasipo kuhamisha vitu. Password huwa sikalili, pia email niliyofungulia account ni ya mchongo.. hata ku reset password haiwezekani.. ndio imeenda vile.. karibu bubiki tupige nyagi maMtu
 
Pole baMtu 🫂
Aaanha mimi hiyo mipombe mikali hapana!
 
713651bc120d7289c7cd7ab45df653c0.jpg
 
Back
Top Bottom