😅😅 kwenye replies tuwaachie amateur maMtuHaya Mwachiluwi nilikuambia baMtu yuko busy ananitafutia Segerumba hana muda wa kunibebisha kwenye replies, haya 💰 zimepatikana tunaenda kutamba Hyatt 🤣 🤣 🤣
😅😅 kwenye replies tuwaachie amateur maMtuHaya Mwachiluwi nilikuambia baMtu yuko busy ananitafutia Segerumba hana muda wa kunibebisha kwenye replies, haya 💰 zimepatikana tunaenda kutamba Hyatt 🤣 🤣 🤣
Ahahah maongezi ya bila kitu kwanini una ongea?Mwachiluwi nilikuambia baMtu yuko busy ananitafutia Segerumba hana muda wa kunibebisha kwenye replies, haya 💰 zimepatikana tunaenda kutamba Hyatt 🤣 🤣 🤣
Hebu nyamaza wewe 🤣 🤣 🤣Ahahah maongezi ya bila kitu kwanini una ongea?
Mengine utaamua wewe baMtu, niambie tu safari ya siku ngapi na nipaki nini 😊Binti wa zamani naona mapendeko yake ya kuzingatiwa 😎View attachment 3407928
Mengine utaamua wewe baMtu, we niambie tu safari ya siku ngapi na nipaki nini 😊
Tafuta hela baMtu, mi nataka kufanya safari zote hizo na ya mwisho tunamalizia Dubai kwa wiki 2 🤣 🤣 🤣
imeisha hiyo maMtu 😊😊Tafuta hela baMtu, mi nataka kufanya safari zote hizo na ya mwisho tunamalizia Dubai kwa wiki 2 🤣 🤣 🤣
Maneno yanataka……..? 😂Hebu nyamaza wewe 🤣 🤣 🤣
Mtu mwenye “Segerumba” hee heeee, bwana we maneno mwenzake ………………………Maneno yanataka……..? 😂
Kashiaaah 😂😂 leo katoa bible mpyaMtu mwenye “Segerumba” hee heeee, bwana we maneno mwenzake ………………………
Sijui nilikua naishi chini ya jiwe gani nimekuja kumjua Anko T wiki iliyopita.Kashiaaah 😂😂 leo katoa bible mpya
Ana niacha hoi sanaSijui nilikua naishi chini ya jiwe gani nimekuja kumjua Anko T wiki iliyopita.
Ana maneno 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Ana ujinga wake ila saa nyingine anaongea point sana 🤣🤣Ana niacha hoi sana
Sure mimi naamini kuna wanawake wanabadirika kisa huyu ana wafungua akili kuna wengine wamejisahau kabisa
Self acha mbwembwe
Mangi, mbwembwe ziko wapi hapo 🤣 🤣 🤣Self acha mbwembwe
Sijawahi ona una selfika zaidi ya mdomo tu🤣Mangi, mbwembwe ziko wapi hapo 🤣 🤣 🤣
Nakuiga wewe Mangi, siku ukianza na mimi nitafuata.Sijawahi ona una selfika zaidi ya mdomo tu🤣
Mhmmm mimi nimeselfka humu mnoNakuiga wewe Mangi, siku ukianza na mimi nitafuata.