Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,235
- 79,768
Mkuu una deni langu aisee 😂 😁 😀😀😃Dada mrembo Tayyana hujambo!!!
Mkuu una deni langu aisee 😂 😁 😀😀😃Dada mrembo Tayyana hujambo!!!
Naona kizazi sina, na vile kwa kuwa sio wa juu kusini,Baba tamu mzima?
Nasubiri mamkubwa mwambie





Mkuuu paka SASA sijawa Sawa.Mkuu una deni langu aisee 😂 😁 😀😀😃
Polee mkuuMkuuu paka SASA sijawa Sawa.
Yaani matokeo ,🦁🙌🙌
Asante mkuu.Polee mkuu
Exactly 💯 ateba alifeli sanaAsante mkuu.
Hongereni. Saaana
We played well, tulikosa bahati
Sawa Sawa mkuu, ukimuona Bantu Lady mrembo WA yanga mwambie hongera saaanaa.Exactly 💯 ateba alifeli sana
Ahsante mzee wa Hall V sumbai Nina furaha sana, poleni wana madunduka 😅😅😅😅😅😅Sawa Sawa mkuu, ukimuona Bantu Lady mrembo WA yanga mwambie hongera saaanaa.
Hello 👋 😎Mi sijambo kaka sumbai 🤣🤣
Za ww
Hello 👋Hello 👋 😎
Sawasawa SumbaiNjema kiasi.
Semina ikiisha tupate gahawa...
Nimemisi sana Stout ase.
Nimeipata huku mpakani, ina ladha nzuri sana nimeipenda kwa kweli...Nimemisi sana Stout ase.
Tamu sana hizo dude, nimepiga za kutosha huko West Africa.Nimeipata huku mpakani, ina ladha nzuri sana nimeipenda kwa kweli...