Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,775
- 27,193
Pole baMtu 🫂😅😅 hamna nilicho haribu maMtu, nilibadilisha simu, pasipo kuhamisha vitu. Password huwa sikalili, pia email niliyofungulia account ni ya mchongo.. hata ku reset password haiwezekani.. ndio imeenda vile.. karibu bubiki tupige nyagi maMtu
Aaanha mimi hiyo mipombe mikali hapana!