Nimelia sana😭Nilishaselfika ile ndio imetoka hivyo ikirudi ni pancha
Siwezi ishi bila wewe
Lia tu kanyamwilaNimelia sana😭
Na mimi nasubiri siku nikipanda ndege nitaselfika Nyamwi255
😂😂😂 acha uwoganataka niselfike dereva kaweka gear ya 3 gari imeruka zoezi la selfika limekufa 🤣🤣
Karibu tuote majuaaa ... Jamanii Aviolaaaaa.. bonge la dada dada daaaaa... 😅😅... Alafu uzuri wa Aviola hakuna kuishiwaa pawaaa maninaaaNa mimi nasubiri siku nikipanda ndege nitaselfika Nyamwi255
Selfika basi na wewe, tuhakiki kama hizo ndevu za kwenye picha ya ID ni wewe kweli😂😂😂 acha uwoga
Traffick kaninyooshea kidole huku anasema wewe wewe 🤣 🤣😂😂😂 acha uwoga
TeyarrrSelfika basi na wewe, tuhakiki kama hizo ndevu za kwenye picha ya ID ni wewe kweli
Wewe s bora ndege mm SGRNa mimi nasubiri siku nikipanda ndege nitaselfika Nyamwi255
Nimependa vidole vyakoKaribu tuote majuaaa ... Jamanii Aviolaaaaa.. bonge la dada dada daaaaa... 😅😅... Alafu uzuri wa Aviola hakuna kuishiwaa pawaaa maninaaaView attachment 3399113
Babu unanitafutia shida bro bora nivae kama Al shabab 🤣🤣
😂😂 muhimu uselfikeBabu unanitafutia shida bro bora nivae kama Al shabab 🤣🤣
SGR sijapanda ila treni siyo kitu cha kutamani.Wewe s bora ndege mm SGR 🤣
Maisha yangu ya maseke naji ichangachangaNyamwi255 umeona kitu hicho 😍
Huyu sasa ndiyo wa kumuomba ile buku ya bando.
Itakuwa ca copy za baMtu 😅😅Selfika basi na wewe, tuhakiki kama hizo ndevu za kwenye picha ya ID ni wewe kweli
😆 😂 hahahaSGR sijapanda ila treni siyo kitu cha kutamani.
Mimi nataka ndege, hapo kwenye kidirisha na mimi nijifotoe selfie ya kutamba nayo JF