Ulale unono, upate na njozi njemaNgoja nilale mim😂😂😂
Ulale unono, upate na njozi njemaNgoja nilale mim😂😂😂
Sawa brooUlale unono, upate na njozi njema
Nipo anko. Tumepoteana kweli kweli.. tusalimiane basii kama na namba unayo 😂Upo rafik angu?
Afu namba yako ninayo, umepotea sanaa
🤣🤣🤣 naona tumefurushwa kule kama mbwa koko..
Modi wana wivu balaa ona sasa hawajataka hata nipate ka buku ka vocha😂🤣🤣🤣 naona tumefurushwa kule kama mbwa koko..
Ma mod jau sana..😀Modi wana wivu balaa ona sasa hawajataka hata nipate ka buku ka vocha😂
Hebu mniache mie, na kuna wajinga watatuma meseji kwa huyo wakala kumtongoza.
Shamim niacheeeee 🤣 🤣 🤣 🤣Paulo selfika basi 😂😂
Nani amtingoze Paulo bwana weweeHebu mniache mie, na kuna wajinga watatuma meseji kwa huyo wakala kumtongoza.
Aii najuta mieee . 😂Shamim niacheeeee 🤣 🤣 🤣 🤣
We endelea.. utafurushwa na huku 😀Paulo selfika basi 😂😂
Nitatumiwa screenshot, we subiriNani amtingoze Paulo bwana wewee
Nimekoma, nikiona nyuzi za watu wenye shida napita kuleeeBrojust ndo ameyataka yote haya🤣🤣
Nipasie buku no ni ile ile😄😄Nimekoma, nikiona nyuzi za watu wenye shida napita kuleee