Kwahiyo umeamua tuambulie vidole tu 😂 kwamba tukiona zaidi ya hapo tutafaidi sana.Karibu tuote majuaaa ... Jamanii Aviolaaaaa.. bonge la dada dada daaaaa... 😅😅... Alafu uzuri wa Aviola hakuna kuishiwaa pawaaa maninaaaView attachment 3399113
Kule ulipopigwa kahawa ya digital ulienda na Baiskeli za green 😄SGR sijapanda ila treni siyo kitu cha kutamani.
Mimi nataka ndege, hapo kwenye kidirisha na mimi nijifotoe selfie ya kutamba nayo JF 🤣🤣
Hiki kisogo au ndevuItakuwa ca copy za baMtu 😅😅View attachment 3399119
😅😅😅 Vichukue mkuuuuWewe s bora ndege mm SGR
Nimependa vidole vyako
Ngozi laini hivyo, huwezi kuwa unajichanga changa.Maisha yangu ya maseke naji ichangachanga
😅😅😅 kisogo cha baMtu mixer udevubHiki kisogo au ndevu
Hizi selfie za vipande pande ndiyo nini sasa? kwani hamjiamini?Itakuwa ca copy za baMtu 😅😅View attachment 3399119
Akili zako 😂Nimekion iisee...hiki ukikiomb buku kinakupa laki🤣👌
😂😂😂 ukiwa jobless lazima uwe ivyoNgozi laini hivyo, huwezi kuwa unajichanga changa.
Daktari Nyamwi255 ng'ang'ania hapa hapa!
Unafikiri mie hata nakataaa basi.. hata sasa hivi ukinitaka nakuja maMtu 😜😜😜....Anang'aa sana ..m ugonjwa wangu ni black
Sasa nitamganda Big Balls
Nimecheka kwa sauti sana 🤣 🤣 🤣 Daaah!Nimekion iisee...hiki ukikiomb buku kinakupa laki🤣👌
Aiiii😅😅😅 Vichukue mkuuuu View attachment 3399131
Huyu ana upwiru wa miaka saba, jiandae kupelekewa fireeeeeee mpaka ufuke moshi.Unafikiri mie hata nakataaa basi.. hata sasa hivi ukinitaka nakuja maMtu 😜😜😜....
Njoo ba mtu nipo mtwara 😊😆Unafikiri mie hata nakataaa basi.. hata sasa hivi ukinitaka nakuja maMtu 😜😜😜....
😜😜😜😜Aiiii
Nyiee mmeona lakn ana weusi wa kuteleze🥰😄
Nakupenda piaa🤣🤣👌😜😜😜😜
🤣🤣🤣🤣 Mie bikra ujueeeeHuyu ana upwiru wa miaka saba, jiandae kupelekewa fireeeeeee mpaka ufuke moshi.