Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,177
- 18,844
Sitaki watu wa abroad wanione 😁Kwamba mimi sipaswi kukaona?
Sitaki watu wa abroad wanione 😁Kwamba mimi sipaswi kukaona?
Washakuotea wewe😅Nimekoma, nikiona nyuzi za watu wenye shida napita kuleee
Good morning nn wewe embu selfika huko acha uvivuWashakuotea wewe😅
Good morning
My kaka, nimeyavaa 😂😂🤣🤣Washakuotea wewe😅
Good morning
Upo hapa leoWashakuotea wewe😅
Good morning
Kumbe huyu yuko abroad, ndiyo maana kakaa kidhungu dhungu 😅Sitaki watu wa abroad wanione 😁
Nilishatupia kitambo humu 😅Good morning nn wewe embu selfika huko acha uvivu
Ndio yupo abroad huko kwao ni usku ukiona kimya ujue kalala😄Kumbe huyu yuko abroad, ndiyo maana kakaa kidhungu dhungu 😅
Ili muendelee kunichora, thubutuuuuuuuuuuuuuu 😂Nipasie buku no ni ile ile😄😄
Amna mwambie wakala pauloo🤣🤣Ili muendelee kunichora, thubutuuuuuuuuuuuuuu 😂
Atupie basi kaselfie tupaone na Ulaya tuoshe macho 🤣!Ndio yupo abroad huko kwao ni usku ukiona kimya ujue kalala😄
Pole vitu vingine tufate tukushauri au unahofia ile tshirt ya mbogamboga niliyovaa 🤣🤣My kaka, nimeyavaa 😂😂🤣🤣
Acha tu, wala sihofii, nitakua nakuja kupata ushauri maana hili la leo kubwa kuliko 😂Pole vitu vingine tufate tukushauri au unahofia ile tshirt ya mbogamboga niliyovaa 🤣🤣
nataka niselfike dereva kaweka gear ya 3 gari imeruka zoezi la selfika limekufa 🤣🤣Upo hapa leo
Wanakukuza kwa shida 🤣🤣Acha tu, wala sihofii, nitakua nakuja kupata ushauri maana hili la leo kubwa kuliko 😂
Dah umepanda ya mbagala au gomzi🤣🤣nataka niselfike dereva kaweka gear ya 3 gari imeruka zoezi la selfika limekufa 🤣🤣