min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,809
- 128,787
Bantu Lady ni mda sijakuonaš¤
Huyo tajiri yangu yupo mkuu Leo Kuna mahali nilimuona hapa jukwaaniBantu Lady ni mda sijakuonaš¤
Naanza kushindwa kuishi bila weweš„Sawa na wewe uselfike sawa eeehView attachment 3382789
Hi kaka angu mzuri nimekumic sanašššNaanza kushindwa kuishi bila weweš„
Na nimeipa 5G.. mda wote ipo 2160p labda quality ya video iwe haifikii huu uboraš š šInaonekana upo serious sana na television bwashee , mpaka umepata wazo la kuitundika ukutani kabisa š¤š¤
Huu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Bantu Lady ni mda sijakuonaš¤
Mimi niliitundika nikawa naangalia hazipiti dakika tano nasinzia , nikairudisha dukani wakanipa pesa yangu nikaenda weka heshima bar.Na nimeipa 5G.. mda wote ipo 2160p labda quality ya video iwe haifikii huu uboraš š š
Hapana sijawahi kufungiwa uzi wowote madamHuu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Madam sio huu bana...Huu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
No siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. š š š šHapana sijawahi kufungiwa uzi wowote madam
š š š Ulitisha sana, mie napeda kuangalia kwa mood, kama leo nina mood sana, ila Kuna kipindi inakaa hata mwezi au wiki hata kuiwasha sijawashaaa.. nahuwa naiwasha kuishtua kuona kama nzima au lahMimi niliitundika nikawa naangalia hazipiti dakika tano nasinzia , nikairudisha dukani wakanipa pesa yangu nikaenda weka heshima bar.
Hahahaha uzi mtamu sana watoto wazuri mkitupia picha lakinNo siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. š š š š
Wewe madamu unataka utugeuke hapa .No siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. š š š š
Ila umeshindikana ššššš ndiyo nini kugeuza gear angani ššššššššššMadam sio huu bana...
ššš Mi nazungumzia ule wa vocha za bureeee.. au kwa lugha nyingine unaitwa sadakalawe
Mimi pia naangalia mno ila kwenye television nilishindwa kabisa , PC tu naona inanitosha ila nikikodoa macho ukutani nalala dakika 0š š š Ulitisha sana, mie napeda kuangalia kwa mood, kama leo nina mood sana, ila Kuna kipindi inakaa hata mwezi au wiki hata kuiwasha sijawashaaa.. nahuwa naiwasha kuishtua kuona kama nzima au lah
Hi Kamum nimekumicššHuu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£
Ngoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yoteIla umeshindikana ššššš ndiyo nini kugeuza gear angani šššššššššš
Nipo poa sana , sijakuona mda mrefu š¤Hi kaka angu mzuri nimekumic sanaššš
Ooh I miss you too mdogo wangu. Za muda mrefu. Tunapishana humu sana. š„°š„°š„°Hi Kamum nimekumicšš
Nilikuepo lakin si sanašNipo poa sana , sijakuona mda mrefu š¤