min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,632
- 165,006
Inaonekana upo serious sana na television bwashee , mpaka umepata wazo la kuitundika ukutani kabisa 🤔🤔Kaibu movie mkuuView attachment 3385684
Inaonekana upo serious sana na television bwashee , mpaka umepata wazo la kuitundika ukutani kabisa 🤔🤔Kaibu movie mkuuView attachment 3385684
Huyo tajiri yangu yupo mkuu Leo Kuna mahali nilimuona hapa jukwaaniBantu Lady ni mda sijakuona🤔
Naanza kushindwa kuishi bila wewe😥Sawa na wewe uselfike sawa eeehView attachment 3382789
Hi kaka angu mzuri nimekumic sana😊😊😊Naanza kushindwa kuishi bila wewe😥
Na nimeipa 5G.. mda wote ipo 2160p labda quality ya video iwe haifikii huu ubora😅😅😅Inaonekana upo serious sana na television bwashee , mpaka umepata wazo la kuitundika ukutani kabisa 🤔🤔
Huu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bantu Lady ni mda sijakuona🤔
Mimi niliitundika nikawa naangalia hazipiti dakika tano nasinzia , nikairudisha dukani wakanipa pesa yangu nikaenda weka heshima bar.Na nimeipa 5G.. mda wote ipo 2160p labda quality ya video iwe haifikii huu ubora😅😅😅
Hapana sijawahi kufungiwa uzi wowote madamHuu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Madam sio huu bana...Huu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
No siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. 😅😅😅😅Hapana sijawahi kufungiwa uzi wowote madam
😅😅😅 Ulitisha sana, mie napeda kuangalia kwa mood, kama leo nina mood sana, ila Kuna kipindi inakaa hata mwezi au wiki hata kuiwasha sijawashaaa.. nahuwa naiwasha kuishtua kuona kama nzima au lahMimi niliitundika nikawa naangalia hazipiti dakika tano nasinzia , nikairudisha dukani wakanipa pesa yangu nikaenda weka heshima bar.
Hahahaha uzi mtamu sana watoto wazuri mkitupia picha lakinNo siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. 😅😅😅😅
Wewe madamu unataka utugeuke hapa .No siyo wewe, huu uzi niliambiwa umefungwa. Huwa unahekaheka sasa zikizidi uzi huu hupigwa pini. 😅😅😅😅
Ila umeshindikana 😂😂😂😂😂 ndiyo nini kugeuza gear angani 😄😄😄😄😄😄🙌🙌🙌🙌Madam sio huu bana...
😂😂😂 Mi nazungumzia ule wa vocha za bureeee.. au kwa lugha nyingine unaitwa sadakalawe
Mimi pia naangalia mno ila kwenye television nilishindwa kabisa , PC tu naona inanitosha ila nikikodoa macho ukutani nalala dakika 0😅😅😅 Ulitisha sana, mie napeda kuangalia kwa mood, kama leo nina mood sana, ila Kuna kipindi inakaa hata mwezi au wiki hata kuiwasha sijawashaaa.. nahuwa naiwasha kuishtua kuona kama nzima au lah
Hi Kamum nimekumic😍😘Huu uzi upo kumbe Meku Poor Brain aliniambia umefungiwa. Anataka tuanzishe wetu PM 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja nimalize mapepa nije kukichafua humu maana nina rundo la mapicha picha kama yoteIla umeshindikana 😂😂😂😂😂 ndiyo nini kugeuza gear angani 😄😄😄😄😄😄🙌🙌🙌🙌
Nipo poa sana , sijakuona mda mrefu 🤔Hi kaka angu mzuri nimekumic sana😊😊😊
Ooh I miss you too mdogo wangu. Za muda mrefu. Tunapishana humu sana. 🥰🥰🥰Hi Kamum nimekumic😍😘