Itakua wanakulana kimya kimyaWagombewa 😂
Tukaribishane
Kwa uwingi wa hizo pilipili kwenye hizo mboga, hukutaka wageni tukaribie nini 😜
Karibu kaka TresorTukaribishane
Merci ,MkuuKaribu kaka Tresor
Ushashiba,selfika kdg ,😂🤣Karibu kaka Tresor
Sawa na wewe uselfike sawa eeehUshashiba,selfika kdg ,😂😂
Pokea maua yako🌸Sawa na wewe uselfike sawa eeehView attachment 3382789
Pokea maua yako
Hapo kwenye kaka sasa, mbona kama umejenga kaukuta 😊 😃😍🥰Asante kaka angu😊
😁😁😁Nimejenga ukuta wa maweHapo kwenye kaka sasa, mbona kama umejenga kaukuta 😊 😃
Naam,swadaktaSawa na wewe uselfike sawa eeehView attachment 3382789
Ndo uselfike hivo nakungojaNaam,swadakta
Hahahahaha..inakujaNdo uselfike hivo nakungoja
Haya sawa nangojaHahahahaha..inakuja
Huu kama mkono wa Abayo, pale the cask cafe..
Mkono wa Tony yule white alikuaga Cask sa hii alihama yuko kweny ile restaurant nyingine mpya kwa nyuma kule 😋Huu kama mkono wa Abayo, pale the cask cafe..
Sawa saea rafiki,punga upepo