Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Welcome dinner
😹😹😹 shoga yangu huyo sekandi boni labda atakuwa wa penzi la kale sema baba wa kambo hana usemi si muhimu anapiga free P 🤣👌🤣🤣🤣 Id yangu ndo hii hii, shoga lisije kumkuta jambo kwa mara nyingine 😫, afu second born wake ni wa penzi jipya au lile la zamani?
kabisaaa msuto unatuhusu, mie siogopi maana kusutwa ni sunna 😂😂😂😹😹😹 shoga yangu huyo sekandi boni labda atakuwa wa penzi la kale sema baba wa kambo hana usemi si muhimu anapiga free P 🤣👌
Shoga tutasutwa kabla mwaka haujapinduka eeehiyaaaa 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️ we huogopi?? 😹
Hata mi siogopi mahi, happy nyuu hiya mmbea mwenzangu 🤣🤣kabisaaa msuto unatuhusu, mie siogopi maana kusutwa ni sunna 😂😂😂
Happy new year mmbea mwenzangu 🤣🤣Hata mi siogopi mahi, happy nyuu hiya mmbea mwenzangu 🤣🤣
Vimeiva nije kula? 😜😋
Na wewe uselfike bosiAsante sana embu selfika na wewe leo kidogo
Sio kila sikuNa wewe uselfike bosi
Ili iweje jiheshimu mkuunikuone kidogo tu basi
Lini mkali unatupiaSio kila siku
Siku yoyoteLini mkali unatupia
Ok harakati zinasemaje lakiniSiku yoyote
Utapata nguvu ya kubeba mizigo mikubwa kwa kiasi hiko cha chakula kijana?Welcome dinner
View attachment 3189559
Itapatikana tu kakakUtapata nguvu ya kubeba mizigo mikubwa kwa kiasi hiko cha chakula kijana?
Sawa kijana,kaza kamba.Itapatikana tu kakak
Hii nikikumbuka nacheka sana hivi upo wapi dada yangu MahondawKwakua wewe unahaha na Maltipo ids unadhani na wengine tuna huo muda hahaa! Mods wako makini katika kuunga ids jiulize wewe na ids zako za penso yen34 sijui ye67 !
Mikwara uchwara yako pelekea hao wifi zapo pimbbi wenzio?
Gram awe Wangu afu nikukuwadie Wewe pimbiii??? Sio Mimi huyu Tonnia ninaechanganyikiwa na mahusiano labda nhaanhaaa!
Nishakwambia leta story mpya miongozo babu hazina maajabu tushazichoka!
Bado hujasemaaa!!!
Hebu chati na picha tusipigwe ban na Uzi usifungwe weee kipinchi!/duwafu
Bado jiti la jana nilokuchoma linakuuma chogo 😹😹
😀😃😃😃Hivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani
Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.
Hivi inawezekana kweli?
Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.
Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.