Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Kuwa makini na samaki
eeeiiish!!!
eeeiiish!!!
Duh hii nini mkuuNimeiona hapo juuView attachment 1283826
Duh hii nini mkuu
Samaki gani hana mdomoSamaki
samaki papaKuwa makini na samaki
Thread jukwaani ama PM?
piemu na yenyewe ni jukwaa,aidii za huko huwezi ona ziko aktivu hapaJukwaani, PM ni thread kwani!

Ni dogo ndiyo dereva mkuu,nashukuru tumefika salama.Mkuu, sisi hatutaki kusikia habari mbaya ITV "habari za saa". High speed kills, kwani unaenda wapi huko kusikofíkika? Slow dowñ and drive responsibly.
Nakujaaaa
Unagonga vyombo ki hazard
piemu na yenyewe ni jukwaa,aidii za huko huwezi ona ziko aktivu hapa![]()
Kudadeki😂😂😂😂😂😂 pombe ni nini na bia ni nini?Ndioo..lakin sikuacha bia![]()
Poleni na safari mkuu!!Ni dogo ndiyo dereva mkuu,nashukuru tumefika salama.
Acha zako Depal we tangulia huko ahera ntakufuata.Ahera