Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,666
- 50,971
Msema ukweli ni kipenzi cha Mungu in mguful's voiceHahaha, kule kunahitaji utaalamu wa ziada. Yaani PM zinaweza kukaa muda hazijibiwi.
Msema ukweli ni kipenzi cha Mungu in mguful's voiceHahaha, kule kunahitaji utaalamu wa ziada. Yaani PM zinaweza kukaa muda hazijibiwi.
🙊🙊Acha zako Depal we tangulia huko ahera ntakufuata.

Kudadekipombe ni nini na bia ni nini?
Was at road trip
Huyo fish kibokoAnaitwa danga fish![]()
Huyo fish kiboko
Dah... Rchuga?
I crave Love so deeply that the Ocean would be jealous !One of my favourite quoutes .View attachment 1283903


Haha mkuu Eswatini mimi ka home tu mpaka sebuleni kwa Muswat enzi hizo.Vidosho wapo na HIV humohumo.Hahah...mkuu kumbe upo kule wanasema ni kiwanda cha wadosho...yaani wanaume ni wachache kuliko vidosho
Hiyo ni gonjwa ya Afrika kaka haswa kusini mwa jangwa la Sahara...Haha mkuu Eswatini mimi ka home tu mpaka sebuleni kwa Muswat enzi hizo.Vidosho wapo na HIV humohumo.
Ni gonjwa la Africa lakini Waswaz wengi wanaamini uchawi kuliko matibabu na ushauri wa Hospital.Hiyo ni gonjwa ya Afrika kaka haswa kusini mwa jangwa la Sahara...
Basi ndio maana wanapukutika kama kuku wale wakona kideri...Ni gonjwa la Africa lakini Waswaz wengi wanaamini uchawi kuliko matibabu na ushauri wa Hospital.