Kuna kampeni ya mimi kutoona notifications...!
Siku hizi mentions sizioni.
Kuna mwamba nimekufananisha nae yupo pande za mabibo.Ndiyo nini mkuu
......... wanapaita carwash...View attachment 1283604
Heri niache kukumention sasa😔
Aisee!!! SioKuna mwamba nimekufananisha nae yupo pande za mabibo.
No, nimetick kiboksi.
Unaenda bagamoyo mkuu wa kaya,naona unaenda kuwatengeneza wezi wako ila la kheri ,nasubiri mrejesho
Zinakuja mkuuSelifies
Abee kaka jamani!Mdogo wangu mtunane yupo vizuri, vocals zinapangwa zipangike. Sasa we jikune tu hapo![]()
Hivi una kaka wangapi na wachumba wangapiAbee kaka jamani!
NakujaaaaZa huku zimeivaa sanaView attachment 1283642