Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,564
Nimeona upo vizuri.Kwa kuiba hawajambo
Unaweza Kuta kesho watu wanashuka Nazo🤣🤣
Kama unaogopa watakuja kuzileta ww anza kuwachanganya unawawekea hadi za wachina😂
Nimeona upo vizuri.Kwa kuiba hawajambo
Unaweza Kuta kesho watu wanashuka Nazo🤣🤣
😍😍Asante my WiiHii pisi ya moto 🥰🥰🥰
Jamani kaka kapata chombo haswaa
Wifi umeumbwa ukaumbika anayebisha atakuwa na kijiba 😹
Hilo bonge la wazo aisee 😀😀Nimeona upo vizuri.
Kama unaogopa watakuja kuzileta ww anza kuwachanganya unawawekea hadi za wachina😂
Si umeona picha za mwaka 47 leo zimeletwa mwenyewe nilishasahu 😹😹😹Kwa kuiba hawajambo
Unaweza Kuta kesho watu wanashuka Nazo🤣🤣
Mi muda wote km nimekula pilipili 😹😹😍😍Asante my Wii
😃😃Kwanini kijiba au ndo ushakula wali wa pilipili
AyyyaNiweze wapi my Wii hapa Kuna darasa la Lilian komba na fooddiary wanaungana natamani nijiunge nijifunze kupika na spices zenye majina ya kizungu😃😃😃
Mwambie kakaako atoe Hela tupike wali wa pilipili 😃😃😃
Mambooo!!!
As i said thats my ride or die, and i got 3 of em.. Ctrl C + V no DNA necessary.your ride o die looks like a minor
this pic sus
PoaMambooo!!!
Kila la kheri 🦁🦁🦁🦁Mbona kama sielewi? 🙄🙄🙄🙄🙄
Ina maana napitwa na ya humu hivi? Huu ubusy hovyo kabisa.
Anyway leo nitakuwa uwanjani, nani anaenda? Ila ndiyo tusioteane, ndiyo huyu ndiyo yule please 😅😅😅😅😅😅
#Yangadaimambele#
🟡🟢
Ukimuona jamaa kavaa kofia nyeusi Ina logo ya Yanga afu mweupe ujue ni Mimi 😎😎😎Mbona kama sielewi? 🙄🙄🙄🙄🙄
Ina maana napitwa na ya humu hivi? Huu ubusy hovyo kabisa.
Anyway leo nitakuwa uwanjani, nani anaenda? Ila ndiyo tusioteane, ndiyo huyu ndiyo yule please 😅😅😅😅😅😅
#Yangadaimambele#
🟡🟢
Ni wezi kuwa makiniView attachment 3129614
Ndugu yangu Grahams ulishafika kusini?? Newala, nachingwea, mtama
Nipe sifa ya pisi za huku...
Mambo tunaweza kupata kahawa hapa taifa kwenye mechi ya Yanga na SimbaMtt wa kishua nakuona😄
Asante mkuu. Mimi sina chakuibiwa. Labda hii tekno yangu...Ni wezi kuwa makini
Poa kaka VinMambo
Nipo gudi dada yanguPoa kaka Vin
Uko poa
Vizuri sanaNipo gudi dada yangu