Selfika na JF: Snap it. Show it


Mahiiii Leo umeamuaa kunipasuaa mbavuu.
Sijui nacheka nn hata, Woiiiiiiiih
 
wallah leo ntatapikaa kwa kuchekaa.
 
Wazee watamu wewe acha tu, hao unazungumzia wewe ni vikongwe, wanajua kula k hakuna hawana papara hawakamii hawachakazi, taratiiibu ila unafurahi, wanajua kutunza watoaji sio mabahili, wanaongea vitu vya maana tu, utasikia nidekee mke wangu/mama yangu ukimpa vizuri mpaka machozi wanalia, sasa hao wenu mi siwawezi kwakweli wamejaa yutiyai na magonoπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

hebu niache usinitoe kwenye upako
 
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 

Mahiiii Leo umeamuaa kunipasuaa mbavuu.
Sijui nacheka nn hata, Woiiiiiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna kitu nawaza jibu sipati, hivi wakinonino dog na lile wezere la mahi wetu, shem kweli anaifikia?? Au tuache hiyo je ile ya kukimbiza farasi auntie akimkalia si atamvunja??!! 😰😹😹
 

Kuna kitu nawaza jibu sipati, hivi wakinonino dog na lile wezere la mahi wetu, shem kweli anaifikia?? Au tuache hiyo je ile ya kukimbiza farasi auntie akimkalia si atamvunja??!!
kwanini mahi unawazaaa vituu visivyo na majibuu etiiii?

Unanichekeshaaa hatariiiii,
 
maliziaaaa hapaaaa bhanaa mahiii.
 
Hao ni vikongwe bado nawatetea siwezi kuwasaliti wazee wangu we mtotoπŸ˜…πŸ˜…
 
jamaniiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…