Hee
Yesu wangu
Lini haya yametokea?
Ni id gani hiyo?
Ila watu wana hekaheka
Haya mahi ππNitumiee mahiii,
Ila coca
Hauna kapicha tuone?
Utaviweza vijukuu vya Farao lakini??
Katika kitu sitokuja kujaribu kudate na mwanaume niliyemzidi umri aiseee.!!
Wakinga tuna dharau sasa kimtu kidogo eti kinipande kichwani naweza nikamzabua kofi akanichukiaβ¦
Kuna mwebrania nilimuwashaga kofi halafu nikakimbia mimi, nikaona hapa huyu uvumilivu uko 0.00 ntachapika bure.
Hakuwa anaweka settup kuna dem alikuwa anampanga anaongea nao
Nambie koma shosti ππThubutuuuu, autoe wapii u tall? Ni kifupii, kina macho makubwaa, hata kwenye Gari hakuweza kushukaa,
Afu hapo unaambiwaa walikua wanaendaga had gym,
, nyiee mie sitakiiii, nimeokokaa.
Woiiiiiiih
Heewee mbonaa ni ya mwakaa janaa hii, na alishtukiwa na jamaa, baada ya hiyo siku kusahau kuweka hiyo settup.
Jamaniiiiii
Limeisha ila itabidi nijifunze kupika maandazi ya mume ya saa mbili usiku πΉπΉNisamehe we bure.
πππ hii tabia naipenda yani temper ikiwa high kifuatacho kelbu..!jamaniii leo ntapasukaa mbavuu.
π€£π€£π€£π€£ JF ina vituko sana..sasa yulee aliyefunguaa uzi, c ndo alisema alikua anaweka settup, ile siku akajisahau, akashangaa jisauti ja jibaba hii hapaaa.
Jamaniii hii JF mbna ina manjegekaa hiviii? Woiiiiiiiih
Haya mahi soonNasubiri mahii,
Naaam,Limeisha ila itabidi nijifunze kupika maandazi ya mume ya saa mbili usiku πΉπΉ
π π π we kweli uvumilivu huna, nimeandika tu mimi ndo kabisaa siwezi kujaribu kuwa na dogodogo na hizi dharau mtoto wa watu anaweza kujuta kuzaliwa, mi na wazee mpaka kifo kitutenganisheUtaviweza vijukuu vya Farao lakini??
Katika kitu sitokuja kujaribu kudate na mwanaume niliyemzidi umri aiseee.!! π€£π€£
Wakinga tuna dharau sasa kimtu kidogo eti kinipande kichwani naweza nikamzabua kofi akanichukiaβ¦ πΉπΉπΉ
Kuna mwebrania nilimuwashaga kofi halafu nikakimbia mimi, nikaona hapa huyu uvumilivu uko 0.00 ntachapika bure.
Semaa chochotee unachotakaaa,Nambie koma shosti
Kwahiyo shem ana macho km ndubwi?!
Na walikuwa wanamgombania kabisaa?!!
Nyie pesa hizi zinadhalilisha wadada wafanye kazi watabeba viemoro
Eeh gym walikuwa wanaenda kufanya mazoezi ya nini??
Na wanaume wafupi wasivyojiamini sasa.!!
Kila demu anamtaka ili kuziba kasoro zake
Wanajifanyaga lover boy na wanapenda kujisifia wanamiliki migobole kumbe hamna kitu.! Hivi mi nataka kusemaje??
hii tabia naipenda yani temper ikiwa high kifuatacho kelbu..!
Kuna mtu alinitibua kuna siku nikasema ww ungekuwa karibu kofi ningekuwasha ungesimulia had vitukuu vyako..!!
JF ina vituko sana..
Kuna member anaitwa yellow donat unamjua??
Namtafuta ana maubuyu mengi sana
Unamjua? πππ
Mahiiii usinifanyee nisemee nilichokuaa nawazaa.
Mxxxxiiiiieeeeew.
Sele yuko vizuri kawalambisha ajira mpk ndugu wa masuria yake awhhh apewe sifa zake huyu muungwana πππSemaa chochotee unachotakaaa,
JF ni full heka hekaa mahiiiii.
Na alikua anawatafutia kazi, ndugu wa wake zakee, au marafiki wao.
ilaa selee, ananiacha hoii padogo tyuuh.