Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,581 Kapachino said: Ngoja tujiandae na kipindi Cha komboa familia Cha buldozer. Tuzidi kujizingiti na dada angu. Click to expand... Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue πππ
Kapachino said: Ngoja tujiandae na kipindi Cha komboa familia Cha buldozer. Tuzidi kujizingiti na dada angu. Click to expand... Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue πππ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,582 Tayana-wog said: Jmn nimecheka Leoπ€£π€£π€£utawaniππ Click to expand... Utawani mahi ππ
Tayana-wog said: Jmn nimecheka Leoπ€£π€£π€£utawaniππ Click to expand... Utawani mahi ππ
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 26, 2024 #394,583 Grahams said: Huyo Mzee mwenzangu ikifika usiku kama hivi anafunga kufuli, pamoja na kwamba tulipita wote jeshini Mwaka 47 amekuwa mwoga kidogo Kwa Wageni π Haya utanikuta nakusubiri getini π€ Click to expand... Ngoja aje sijui ana utetezi gani, yani itabidi nikague pm za wakaka tunaokutana kutana humu,
Grahams said: Huyo Mzee mwenzangu ikifika usiku kama hivi anafunga kufuli, pamoja na kwamba tulipita wote jeshini Mwaka 47 amekuwa mwoga kidogo Kwa Wageni π Haya utanikuta nakusubiri getini π€ Click to expand... Ngoja aje sijui ana utetezi gani, yani itabidi nikague pm za wakaka tunaokutana kutana humu,
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,154 Reaction score 137,162 Sep 26, 2024 #394,584 Saint Anne said: Ngabu How are you? Tumemiss selfie zako Click to expand... Hey Annaβ¦.salama kabisa! Mi nahili lisura langu si wa kumisiwa bana π.
Saint Anne said: Ngabu How are you? Tumemiss selfie zako Click to expand... Hey Annaβ¦.salama kabisa! Mi nahili lisura langu si wa kumisiwa bana π.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,585 Grahams said: Kama upo around nipe namba ya Wakala Mjukuu π€ Click to expand... Mmeanza kuturusha roho na miamala ππ Tayana-wog babu akikutumia na mimi unikumbuke
Grahams said: Kama upo around nipe namba ya Wakala Mjukuu π€ Click to expand... Mmeanza kuturusha roho na miamala ππ Tayana-wog babu akikutumia na mimi unikumbuke
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,193 Reaction score 33,580 Sep 26, 2024 #394,586 Tayana-wog said: Duh kitambo ngoja tumuite Omulasil unaitwa Click to expand... Umezima ndoto zake kirahisi mnoπ
Tayana-wog said: Duh kitambo ngoja tumuite Omulasil unaitwa Click to expand... Umezima ndoto zake kirahisi mnoπ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,587 The Monk said: View attachment 3107569 Hii ndio selfika ya Sasa hivi, zingine ilikua wadhamini tu TBT. Click to expand... Ila shem kwa wanaume hapa selfika namba moja yako uko very smart, Ingekuwa wengine jamani hapo vitambi vya michicha ya chooni na ndizi mbivu vingefoka π€£π€£π€£ Km wana utapiamlo πΉπΉ
The Monk said: View attachment 3107569 Hii ndio selfika ya Sasa hivi, zingine ilikua wadhamini tu TBT. Click to expand... Ila shem kwa wanaume hapa selfika namba moja yako uko very smart, Ingekuwa wengine jamani hapo vitambi vya michicha ya chooni na ndizi mbivu vingefoka π€£π€£π€£ Km wana utapiamlo πΉπΉ
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Sep 26, 2024 #394,588 Nyani Ngabu said: Hey Annaβ¦.salama kabisa! Mi nahili lisura langu si wa kumisiwa bana π. View attachment 3107575 Click to expand... Mh handsome π€©
Nyani Ngabu said: Hey Annaβ¦.salama kabisa! Mi nahili lisura langu si wa kumisiwa bana π. View attachment 3107575 Click to expand... Mh handsome π€©
Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,552 Sep 26, 2024 #394,589
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Sep 26, 2024 #394,590 Lamomy said: Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue πππ Click to expand... Mnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri. Mfukie makaburi yenu ya nyuma. Maisha yenyewe haya mafupi sana. Tupendane.
Lamomy said: Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue πππ Click to expand... Mnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri. Mfukie makaburi yenu ya nyuma. Maisha yenyewe haya mafupi sana. Tupendane.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,154 Reaction score 137,162 Sep 26, 2024 #394,591 Lunch on the go.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,592 Nyani Ngabu said: Hey Annaβ¦.salama kabisa! Mi nahili lisura langu si wa kumisiwa bana π. View attachment 3107575 Click to expand... Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona ππ
Nyani Ngabu said: Hey Annaβ¦.salama kabisa! Mi nahili lisura langu si wa kumisiwa bana π. View attachment 3107575 Click to expand... Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona ππ
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Sep 26, 2024 #394,593 Lamomy said: Anazuga ππ Click to expand... Alishamaliza zoezi la kufyeka mapori?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,154 Reaction score 137,162 Sep 26, 2024 #394,594 Lamomy said: Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona ππ Click to expand... Kitu gani? Ndevu? Unapenda ndevu wewe ehβ¦π
Lamomy said: Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona ππ Click to expand... Kitu gani? Ndevu? Unapenda ndevu wewe ehβ¦π
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,595 Kapachino said: Mnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri. Mfukie makaburi yenu ya nyuma. Maisha yenyewe haya mafupi sana. Tupendane. Click to expand... Anilipe mafao yangu kwanza πππ
Kapachino said: Mnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri. Mfukie makaburi yenu ya nyuma. Maisha yenyewe haya mafupi sana. Tupendane. Click to expand... Anilipe mafao yangu kwanza πππ
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 26, 2024 #394,596 Lamomy said: Mmeanza kuturusha roho na miamala ππ Tayana-wog babu akikutumia na mimi unikumbuke Click to expand... Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewa
Lamomy said: Mmeanza kuturusha roho na miamala ππ Tayana-wog babu akikutumia na mimi unikumbuke Click to expand... Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewa
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,597 Saint Anne said: Alishamaliza zoezi la kufyeka mapori? Click to expand... π€£π€£π€£ Nkamu em niache kwanza
Saint Anne said: Alishamaliza zoezi la kufyeka mapori? Click to expand... π€£π€£π€£ Nkamu em niache kwanza
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Sep 26, 2024 #394,598 Lamomy said: Anilipe mafao yangu kwanza πππ Click to expand... ππππππ Nkamu Kwa mafao nadhani mimi nimekuzidi aiseee
Lamomy said: Anilipe mafao yangu kwanza πππ Click to expand... ππππππ Nkamu Kwa mafao nadhani mimi nimekuzidi aiseee
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,599 Nyani Ngabu said: Kitu gani? Ndevu? Unapenda ndevu wewe ehβ¦π Click to expand... Tayari ushajua haya weka sasa ππ
Nyani Ngabu said: Kitu gani? Ndevu? Unapenda ndevu wewe ehβ¦π Click to expand... Tayari ushajua haya weka sasa ππ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,093 Sep 26, 2024 #394,600 Kapeace said: Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewa Click to expand... Monk kasema mzigo tayari katuma fanya unipe mahi dhuluma sio nzuri πΉπΉπΉ
Kapeace said: Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewa Click to expand... Monk kasema mzigo tayari katuma fanya unipe mahi dhuluma sio nzuri πΉπΉπΉ