Yule info zoteNgoja tukaulize kacoca
Atakuwa anaandaa pic konki ya kunyakua kombe, akishinda boss tutapata vocha za million kila mmoja nkamu ππHivi Bantu ana haja ya Tiz kweli!?
Asituangushe
Tunasubiri picha
Comedian wake tumefikaπ₯
Bantu Lady
Shangazi itabidi avumilie kwa siku moja sio mbaya ππShangazi atakuwa anaona heri mumnyonge
Kuliko kuruhusu mimi nikae mbele kwenye gari yake na Sele
π€£ππππππ Weeh kwani na shem yule mmeachana??
Sa itakuwaje?!
Amen nashukuru Mungu kwakweli!Nilikuwa nasubiri ukae sawa wizo halafu uje useme.lπ₯°
Unataka iweje wizo
Nitumie details zote tufanye mambo
Unataka shangazi apasuke weweShangazi itabidi avumilie kwa siku moja sio mbaya ππ
π€£π€£π€£Babu km babuTayana-wog usimpige babu maombi ana mapepo bana πππ
Hawezi km hataki tutamshusha aje na boda asitutanie hata km gari la uncle sele πΉUnataka shangazi apasuke wewe
Babu hana baya.. kanifatie korosho zangu π€£π€£π€£π€£π€£Babu km babu
Tupia Tayana nione body kinanda mahi πEeh selfika pameanza kuchangamkaπ
Picha tafadhali
Mie huyuπBabu hana baya.. kanifatie korosho zangu π€£π€£
Utafanya shangazi atuwinde na shabaha aiseeHawezi km hataki tutamshusha aje na boda asitutanie hata km gari la uncle sele πΉ
WeeeeTupia Tayana nione body kinanda mahi π
Ndio wewe ππMie huyuπ
Sawa mwambie atume nauli niende
π€£π€£π€£ Nkamu shangazi hana jeuri hiyo si ndio washika pochi yake..!Utafanya shangazi atuwinde na shabaha aisee
Fanya chap mremboWeeee
Ushatuombea kifoππHuendi mbinguni ujue π! Hahaha
Wacha tuendelee kuutendea uzi haki
Hauna kafoto Karibu hapo unibles nikachochee mandondo Yangu vizuri????
Sasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutoshaThe Monk fungua pm chap, unaomba namba halafu unafunga pm namna gani tajiriiii ππ
Tajiri muaminifu bana hataki hekaheka atakufungulia ukatulie peke yako piemuni mahi.!! Wale wa kuacha pm wazi wengi fisi maji πΉπΉπΉ Mje mniue niko bonyokwa