Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,818
Pale kibetaHahaha!
Ni vizuri kutukumbusha mnywanii kuna wazee wengine wadeadly eti!
Kati ya watu waso waoga ni Mimi mnywani!
Kuna hotel nilichukuaga
Kuna kadingi kaliingia na mzigo nikajisemea huyu mzee ataweza hizi pukurushani za ili zigo.
Baada ya dk kazaa
Korido Zima lilikuwa linalindima kwa yowee
Sema siku iyo ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kula chabo