Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,235
Huyu dada ni msupuš„š„Ni kweli
Picha zake classic za kishua
Halafu mzuri hatari rangi ya mtumeš„
Tangu tunaanza huu Uzi miaka mitano nyuma
Huyu dada ni msupuš„š„Ni kweli
šššNi kweli
Mpira unakuwaga na maajabu sana ngoja tuone.Ok kesho West Ham anakuja kwetu Anfield tutampiga kama ngoma
Exactly šÆMpira unakuwaga na maajabu sana ngoja tuone.
Tanga materialHuyu dada ni msupuš„š„
Picha zake classic za kishua
Halafu mzuri hatari rangi ya mtumeš„
Tangu tunaanza huu Uzi miaka mitano nyuma
Anazingua huyo haujui utamu wa kongoro
Aisee... Nipo Kwa walevi hapa kichwa kimejaa na danrod.Shikamoo rafiki
Naunga mkono hoja 𤣠šAnajua Kwa vile tunagonga kongoro ndio hatujui kula kuku, mbuzi na mengineyo?
Sijui mkuuš
Hello,ššš
Hiyo avatar yako, huyo jamaaa alifanya niangalie movie zote za pirate CarribbeanSijui mkuuš
Mwamba anajua sanaHiyo avatar yako, huyo jamaaa alifanya niangalie movie zote za pirate Carribbean
Kuna Mwamba na meli yake inaitwa flying Dutch Kama sijakosea
Mimi nakunywa supu ya kuku, mbuzi, samaki, ng'ombe mwisho hizi nyama nyengine sijui kuongoro, nyoka mimi sili
Kaputeni jaki sparoMwamba anajua sana
Mwamba anajua, alizaliwa kuwa captain jack sparrow.Mwamba anajua sana
John deepš¤Kaputeni jaki sparo