Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Unataka kuwa kimbaombao kama fimbo?Ahsante kipenzi mwenye hips zake Saint Anne Sasa mimi shape yako, naitamani nipungue nifike vile. Ningetupia kila muda π π π π
Mungu akipenda kesho nitatupia. Usiku mwema wote, πππππ
Njoo nikupe tips za kukondaπππ
Ishiwa hela
Fanya kazi kwa muhindi
Zunguka barabarani machinga mimi
Kazi yangu ya kusafiri hadi nakonda njiaani.
Stress za wateja wa keki.
Fasting
Kula portion ndogo sana
Team Dr Lizzy