Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,621
- 69,358
Itakufikia mzee wangu we tulia hapo hapoš¤©Amen. Namba ya wakala haijafanikiwa kunifikia. Barikiwa pia.
Itakufikia mzee wangu we tulia hapo hapoš¤©Amen. Namba ya wakala haijafanikiwa kunifikia. Barikiwa pia.
DownloadOoh nyenzo zote nazitaka
Leo asimame hahaUmeonaee huyu ndio nembo yetu ya mtoto mkali wa Selfika. Na ni kazuri uwiii ngoja atuwekee moja achangamshe Selfika kwanza. Wait Chino
Uko vizure una kasura ka kitoto hadi rahaa lipssss nyonyoooo gushepu auweeeeehhh ššššš„šš!Mwe mwe mzee mkitaka niwe nawaamkia daily nipunguze na ukorofi basi wafanye hiki ulichoandika hapa,
sura ya kipole ila saasa š¤£š¤£chokoraa
HahaMwe mwe mzee mkitaka niwe nawaamkia daily nipunguze na ukorofi basi wafanye hiki ulichoandika hapa,
sura ya kipole ila saasa š¤£š¤£chokoraa
Asante Mrs Smart, uzuri pm nimeifunga leo ningejuta na hizi pambeUko vizure una kasura ka kitoto hadi rahaa lipssss nyonyoooo gushepu auweeeeehhh ššššš„šš!
Noumaaa narobotatu hio
Kunguru muoga......Haha
Sura ya kipole sana
Tena ni keyboard warrior.
Nkamu Lamomy upo wapiSelfika šššššš inachomaaaaa
Nimeshawamiss Saint Anne na Lamomy Nianze kucheka. Japo babe wangu ananichekesha huku.
Chino mbona hutaji zawadi eeh? Au unaona aibu hapa? š
Aibu nimuonee naniSelfika šššššš inachomaaaaa
Nimeshawamiss Saint Anne na Lamomy Nianze kucheka. Japo babe wangu ananichekesha huku.
Chino mbona hutaji zawadi eeh? Au unaona aibu hapa? š
Mnanifurahisha na maneno yenu. Hamjui tu. Dah mkianza msiache kunitag tu. Nicheke miye maisha yenyewe mafupi haya.
Hongera sana sura inaonekana Ina furaha
Yan Hawa wamenifanya had jirani kanishangaa nilivokuwa Nacheka usiku šMnanifurahisha na maneno yenu. Hamjui tu. Dah mkianza msiache kunitag tu. Nicheke miye maiaha yenyewe mafupi haya.
Dada nzuri ndani ya mjengoš„š„š„š„Weraaaa nipo vipenziii long tym humu..naona kumefufuka
We acha tu mjukuu wangu.Hongera sana sura inaonekana Ina furaha