Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,943
Ndio 😂😂😂ko hizo ni za wadangajiii? Woiiiiih
Ndio 😂😂😂ko hizo ni za wadangajiii? Woiiiiih
Tajiriiiiiiiiiiiiiii 😍😍😍Odo Lamomy Mwachiluwi twendeni shopping ndogo ya Jumanne. Babe kikiboxer ❤️ nikukute wapi?View attachment 3098245
Ngumi za nini?😄 wakati mrembo mwenyewe kasha ni approve?Promota yoyote ajitokeze tuweke shindano la ngumi ili tuone nani hajui na nani mbabe😎
Wacha weeeeh.!!
Yako usifute shem uwainspae wanaume wasio na magari watafute 😂😂Walaa siogopi naona ni utaratibu tu watu huweka picha na kuzifuta baada ya muda😄
ahahah kwanini?Wacha weeeeh.!!
Mwachi hiyo picha imepigwa kwa mwanga wa jua? 😂😂
😂😂😂 kwani na ww ni shemeji??🤔
Bantu Lady kwahiyo umeniacha?
kama muda hauruhusu?Yako usifute shem uwainspae wanaume wasio na magari watafute 😂😂
Wacha weeeh!! 😂😂😂Simuachi maana yake ndio linapaa yani tuwe hewani😂
Odo wangu kisu kazi kwenu mashemeji 😂😂Babe wanaokutaka humu ni mamia kwa maelfu, namimi najua wewe ni pisi. wakija wakatae kama huyu😂
🤣🤣🤣🤣 tema mate tumchapeKwahiyo unanizodoa
Huyo hapana alisema tu ananipenda. Basi kaunganisha tela. Nina babe mmoja tu. Anajijua Odo, nimecheka hapo kwa Waebrania una maneno Odo 🤣🤣🤣🤣🤣Odo useme isijekuwa umewapanga waebrania 😂😂
Umemtaja Madame B nimecheka sanaa!!🤣🤣🤣🤣🤣 hili nililijua utalisema tu. Hatupendani. Kila mtu ana wake. Mimi nimekufa nikaoza kwa my babe. Wewe nakuweka kwa dada mkubwa Madame B.
Humu ndani mpk waheshimiwa mpo? 😍😍
Ungemfaidi kwenye Jukwaa la wakubwa. Huko alikuwa balaa lililoshindikana. Mtu poa sana na nampenda Madame BUmemtaja Madame B nimecheka sanaa!!
Huyo Madame ana balaa sana.!!😂😂😂
Nyie danganyaneni tu, wewe unatakiwa upigwe ndoige na sugunyo☹️🤛👊✊Ngumi za nini?😄 wakati mrembo mwenyewe kasha ni approve?
Auntie mshunu huyu ka-cute 😘😘