Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Toka lini? Yaani wewe kusema unanipenda ndiyo nimekuwa wako tayari hata sijakubali bana. Si nilikwambia una shemeji yako humu? 😅😅😅😅😅😅pole. Nina babe wangu kikiboxer ♥️🤔
Bantu Lady kwahiyo umeniacha?