Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,194
- 33,566
Hiko ndio kitu nakionaga, sijui kwa nn huwa ni nguku kuwapa ramani na wengine aiseeWewe shem huwa unasema kweli na nakuamini kabisa. Ila mwache aendelee kunizingua. Uzuri ukweli uko wazi hakiharibiki kitu. Wafanyabiashara wakubwa wachoyo, kukwambia A,B,C za biashara. Hawataki kutoa siri mtajirike wote.

