Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Uzuri anajua vizuri tu unataniaKwahiyo umekaza nisipewe mtaji? 😂😂😂
Acha bana mi pesa sina na unajua hilo
Uzuri anajua vizuri tu unataniaKwahiyo umekaza nisipewe mtaji? 😂😂😂
Acha bana mi pesa sina na unajua hilo
Hiko ndio kitu nakionaga, sijui kwa nn huwa ni nguku kuwapa ramani na wengine aiseeWewe shem huwa unasema kweli na nakuamini kabisa. Ila mwache aendelee kunizingua. Uzuri ukweli uko wazi hakiharibiki kitu. Wafanyabiashara wakubwa wachoyo, kukwambia A,B,C za biashara. Hawataki kutoa siri mtajirike wote.
Good halafu unajua shem. Wanawake ndiyo wenye pesa siku hizi. Yaani wanawake wameamka hadi raha. Wengi hawawategemei tena wanaume. Wanafanya mambo makubwa sana. Hongera Odo ake Lamomy Zizidi na zingine 🙏Umepita mulemule aisee, leo Kuna status kaweka ya apartments mpya aisee. Akibisha tu namwaga hapa🙄
Acha kumchosha bana, HUNA uhitaji kabisa. Wewe na yeye wote mabosslady. Ambacho ungefanya ni kumpa ABC za kkooWeeh bana hizi sifa zako unazonipamba ndio zinafanya nashindwa kusaidiwa na matajiri ujue 😂😂😂
Em acha niwezeshwe
Huyo muongo niamini mimi,nauza vijora km uko tayari njoo tupigwe wetu na jua kuita wateja… 😂😂😂Wewe shem huwa unasema kweli na nakuamini kabisa. Ila mwache aendelee kunizingua. Uzuri ukweli uko wazi hakiharibiki kitu. Wafanyabiashara wakubwa wachoyo, kukwambia A,B,C za biashara. Hawataki kutoa siri mtajirike wote.
Kabisa aisee, wanawake wajanja wapo aisee alafu wanafukuza mwizi kimya kimyaGood halafu unajua shem. Wanawake ndiyo wenye pesa siku hizi. Yaani wanawake wameamka hadi raha. Wengi hawawategemei tena wanaume. Wanafanya mambo makubwa sana. Hongera Odo ake Lamomy Zizidi na zingine 🙏
😂😂😂😂 I receiveUmepita mulemule aisee, leo Kuna status kaweka ya apartments mpya aisee. Akibisha tu namwaga hapa🙄
Thubutu wewe huyo, acha kuomba Mungu akushushe. Shukuru alipokufikisha. Mimi huwa napenda kumsifu Mungu kwa chochote anachonipa. Sitaki kumshusha ni kurudisha sifa na Utukufu wake.Huyo muongo niamini mimi,nauza vijora km uko tayari njoo tupigwe wetu na jua kuita wateja… 😂😂😂
Jioni kusukumana kugombea mwendokasi odo utaweza??
😂😂😂 We endelea kunisagia kunguni nikose pesa za bossladyUzuri anajua vizuri tu unatania
🤣🤣🤣 dah!! Umeamua kuniua kabisa nisipewe pesa..!!Acha kumchosha bana, HUNA uhitaji kabisa. Wewe na yeye wote mabosslady. Ambacho ungefanya ni kumpa ABC za kkoo
Odo achana na cantry nifanyie mpango wa mtaji, hayo mengine usimsikilize.!!Thubutu wewe huyo, acha kuomba Mungu akushushe. Shukuru alipokufikisha. Mimi huwa napenda kumsifu Mungu kwa chochote anachonipa. Sitaki kumshusha ni kurudisha sifa na Utukufu wake.
Odo nalala maana baadaye nikiamshwa nitaanza kulia 🤣🤣🤣🤣🤣 usingizi bado, nitawanunia watu wote.
Acha kumsumbua huna uhitaji😂😂😂 We endelea kunisagia kunguni nikose pesa za bosslady
🙌Mkuu sumbai tbt ya Bantu Lady akiwa goli enzi zake aliweka eh?
Walaa siogopi naona ni utaratibu tu watu huweka picha na kuzifuta baada ya muda😄Mwambie aache uoga 😂😂
Na yote huyo fundi wa mchongo kuja kutaja jina la ndinga analo push shem 😹
Hajui kumezea vitu khaaaa.!!
Mwanangu kwani Bantu Lady ni babe wako tangu lini?Haha sasa amani ipo asilimia zote babe.
Kitambo mkuu ila kwa sasa penzi ndio lina "take off".Mwanangu kwani Bantu Lady ni babe wako tangu lini?