Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,520
- 95,071
Hiyo sasa roho mbaya!! 😂😂😂Mtaji unao. Usije muingiza chaka bantu akakupa kweli
Mtaji ninao ila mdogo nataka odo aniboost walau nifike hata laki 5 😹
Hiyo sasa roho mbaya!! 😂😂😂Mtaji unao. Usije muingiza chaka bantu akakupa kweli
Babe kikiboxer sasa atakaa kwa amani, picha imefutika kote. Ataogopa hata kutuma tena 😅😅😅😅Fanyeni hivyo 😂😂
Usimsikilize huyo anataka usiniwezeshe aendelee kunicheka 🤣🤣🤣Shem namuelewa wee mwache anicheke tu. Iko siku nitambamba Kariakoo kwenye duka lake. Wakinga habari nyingine. Kuna wakinga watatu, nawafahamu yaani wanashindana kuporomosha mahotel na ukumbi kwa mpigo.
Hiyo laki 5, ndiyo unamlipa msaidizi wako wa dukani, tena mmoja tu. Unaniingiza chaka baya sana. Niko na shemeji.Usimsikilize huyo anataka usiniwezeshe aendelee kunicheka 🤣🤣🤣
Odo Usimsikilize cantry muongo.. 😂😂Hiyo laki 5, ndiyo unamlipa msaidizi wako wa dukani, tena mmoja tu. Unaniingiza chaka baya sana. Niko na shemeji.
Eti fundi, wanaume wanaendesha magari mengi sana. So akiona tu anajua hili ni lipi. Mimi bila kulisoma natoka kapa 😅😅😅😅Mwambie aache uoga 😂😂
Na yote huyo fundi wa mchongo kuja kutaja jina la ndinga analo push shem 😹
Hajui kumezea vitu khaaaa.!!
Huyo namjua fika dalali sijui ufundi kaanza lini?? 🤣🤣🤣Eti fundi, wanaume wanaendesha magari mengi sana. So akiona tu anajua hili ni lipi. Mimi bila kulisoma natoka kapa 😅😅😅😅
Hutamuingiza chaka, anajua vizuri tu uwa unatania. Tajiri wa kkoo😂Hiyo sasa roho mbaya!! 😂😂😂
Mtaji ninao ila mdogo nataka odo aniboost walau nifike hata laki 5 😹
Mwache shem wangu, acha kumbandika udalali mara fundi. Shem ndiyo anaongea ukweli. Babw nitamshawishi, atupie nyingine faster afute. Napita naked tuko wawili tu 😝😝😝😝😝Huyo namjua fika dalali sijui ufundi kaanza lini?? 🤣🤣🤣
Huyo dalali wa viwanja bana asimtishe shem ashindwe kutupia ndinga lingine bure. 😹
Mm ni fundi serious, tena ni fundi body+rangi, kwa hiyo ndani nje nayajua mabody ya gariEti fundi, wanaume wanaendesha magari mengi sana. So akiona tu anajua hili ni lipi. Mimi bila kulisoma natoka kapa 😅😅😅😅
Udalali ninao kweli, Ila ufundi ndio kazi rasmi na unajua vizuri tu acha kumuongopea bosslady 😂😂Huyo namjua fika dalali sijui ufundi kaanza lini?? 🤣🤣🤣
Huyo dalali wa viwanja bana asimtishe shem ashindwe kutupia ndinga lingine bure. 😹
Nikizikosa hizo pesa utanipa zako ujue 😂😂😂Hutamuingiza chaka, anajua vizuri tu uwa unatania. Tajiri wa kkoo😂
Muuzaji wa jumla wa.....
Endelea kama sijataja😂
Tupia aisee, sijawahi kukuona aisee Ila naskia ni pisi ya kwenda haswaaMwache shem wangu, acha kumbandika udalali mara fundi. Shem ndiyo anaongea ukweli. Babw nitamshawishi, atupie nyingine faster afute. Napita naked tuko wawili tu 😝😝😝😝😝
Ooh vizuri, maana odo wangu kila kitu utani. Nikajua anatania. Tutaleta shemMm ni fundi serious, tena ni fundi body+rangi, kwa hiyo ndani nje nayajua mabody ya gari
Jana status niliona mzigo mpya wa kutosha nikataka kusema neno nikakausha😁😁Nikizikosa hizo pesa utanipa zako ujue 😂😂😂
Acha kumtisha tajiri bana, nataka kufunga kontena la vijora.
Na wewe umenigeuka? 😂😂😂Mwache shem wangu, acha kumbandika udalali mara fundi. Shem ndiyo anaongea ukweli. Babw nitamshawishi, atupie nyingine faster afute. Napita naked tuko wawili tu 😝😝😝😝😝
Serious mje mniungishe aisee, gereji ipo tandale darajani upande wa kulia ukiwa unatokea magomeni kanisani, na upande wa kushoto ukiwa unatokea vaticanOoh vizuri, maana odo wangu kila kitu utani. Nikajua anatania. Tutaleta shem
😂😂😂Udalali ninao kweli, Ila ufundi ndio kazi rasmi na unajua vizuri tu acha kumuongopea bosslady 😂😂
Hamna wa kawaida tu shem. Nimeshatupia nyingi sana. Wa kusave watakuwa walishakutupia. Nilijua niko na Odo tu, kumbe zaidi naogopa 😆😆😆😆Tupia aisee, sijawahi kukuona aisee Ila naskia ni pisi ya kwenda haswaa