Longolongo za waswazi
Hazinipi mtihani
Hazininyimi usingizi
Wa kulala na mwandani
Nimerudi Kwa mpenz
Sasa maneno ya nini Saint Anne ameingia kiboko yangu
Longolongo za waswazi
Hazinipi mtihani
Hazininyimi usingizi
Wa kulala na mwandani
Nimerudi Kwa mpenz
Sasa maneno ya nini Saint Anne ameingia kiboko yangu