Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
ahahhahah akianan duh nimechanika miguu kisa kuchimbua viazi kabla sijalala hapo itabdi niloweke miguu kwenye maji hapo chini kwenye swimmingAlale Hyatt miguu kasugua magaga?? 😂😂
Asije kuchana mashuka tukamchangia tena!!
Wewe tajiriiiiiiiii bana 😍😍