Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,880
- 82,078
Aje kwangu nimpe usaili si jirani yangu hapa kwani maweni ni karibu sana😎itakuwa usahili aliofanya katemwa
Aje kwangu nimpe usaili si jirani yangu hapa kwani maweni ni karibu sana😎itakuwa usahili aliofanya katemwa
ahahhahah akianan duh nimechanika miguu kisa kuchimbua viazi kabla sijalala hapo itabdi niloweke miguu kwenye maji hapo chini kwenye swimmingAlale Hyatt miguu kasugua magaga?? 😂😂
Asije kuchana mashuka tukamchangia tena!!
Wewe tajiriiiiiiiii bana 😍😍
muuite sasAje kwangu nimpe usaili si jirani yangu hapa kwani maweni ni karibu sana😎
min -me utanifanya nikuote usiku wa leo 🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️Ukinitaja tu najisikia kufa😊
Pm yangu ipo wazi nipo jf masaa 24muuite sas
itapendezaPm yangu ipo wazi nipo jf masaa 24
😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka dah! Mwachi kazi anayo, akaoge maji ya bahari kwanza 😅😅😅Alale Hyatt miguu kasugua magaga?? 😂😂
Asije kuchana mashuka tukamchangia tena!!
Wewe tajiriiiiiiiii bana 😍😍
ngoja nifike.dar leo natoka uku igumbilo kwa mguu😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka dah! Mwachi kazi anayo, akaoge maji ya bahari kwanza 😅😅😅
maboss mmeanza kutuumiza sisi masikin.hapa ndio.wapi?
Mandhari iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mwachiluwi analalamika😅😅😅Mandhari iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
qhaha nataman kuwa hapo ila nipo uku nafukuzana na jembeMwachiluwi analalamika😅😅😅
Heshima yako toto zuriMandhari iko 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Dogo Kuna Dili Italy upo tayari nikupeleke ukabebe boximaboss mmeanza kutuumiza sisi masikin.hapa ndio.wapi?
🥰🥰🥰 Chino mkaka handsome. Hivi Lamomy anajua jinsi gani ulivyo muhandsome?Heshima yako toto zuri
hapana ww.mbn ujaendaDogo Kuna Dili Italy upo tayari nikupeleke ukabebe boxi