Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,825
Ehhh swahiba na wewe kumbe yaliyomo yamo!!Maiki cheki cheki 😂
JF ina majentromeni mayooooo.!! 😍😍
Ehhh swahiba na wewe kumbe yaliyomo yamo!!Maiki cheki cheki 😂
Forever and alwaysssssssss Min
Weka pics za Pariiii nataka nione ile uliyopiga kwenye tower 😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁 Dah 😎😎
Nilijua ushalala 😂Ehhh swahiba na wewe kumbe yaliyomo yamo!!
JF ina majentromeni mayooooo.!! 😍😍
Huwa akili yangu haiwazi mara mbili unajua??Wewe zege halilali weka leo bana 😂😂
Kesho haijulikani we Mangi meri aje?
Unamuogopa nani na hakuna anayekujua humu!! Nasubiri
Mambo mazur kabisaa
Leo zamu yenu wanaume 😂😂😂Wacha maneno weka mziki
Ankal weka pic zako hizi hatutaki 😂😂
Mimi bila kuona tandam leo camera ina UKUNGULeo zamu yenu wanaume 😂😂😂
Kesho wanawake tushushe pics za “tandam” tukiongozwa na le madam mwenyewe uduguu 🤣🤣
Weka weka MangiiiiiiHuwa akili yangu haiwazi mara mbili unajua??
Nimecheka huku we unanijijua mwenyewe 😂Ankal weka pic zako hizi hatutaki 😂😂
Hata za kilingeni we tupia
Na miwani myeusiiiAnkal weka pic zako hizi hatutaki 😂😂
Hata za kilingeni we tupia
Niweke nipo na mbege ?Weka weka Mangiiiiii
Leo ndio leo 😂😂😂
😁😂😁😁😁😁Weka pics za Pariiii nataka nione ile uliyopiga kwenye tower 😂😂😂