Haujaona?Wifi hujatunza screenshot nimuone Mangi 😜
Nini? Umetuma kwani?Haujaona?
Ehhh mamaaaaahhhhhhh 😍😍😍😍
Watu watano wote😁😁 sema tu najiamini😊Wee Mangi meri na wait hapa fanya chap basi
Ehhh mamaaaaahhhhhhh 😍😍😍😍
Mangi uko vyediii 😜Watu watano wote😁😁 sema tu najiamini😊
😁😁 nawapenda marafiki zanguMangi uko vyediii 😜
Mangi leo umeamua kunikomeshea au sio? 😂😂
Leo balaa 😂😂😁😁 nawapenda marafiki zangu
Useme haunijui hata hivyo kidogo tu, nitatupia video kesho 😁😁 ngoja nilewe😅Leo balaa 😂😂
Tupia ya mwisho basi Mangi
Wewe zege halilali weka leo bana 😂😂Useme haunijui hata hivyo kidogo tu, nitatupia video kesho 😁😁 ngoja nilewe😅
Mimi nipo hapa kukuona mkuu sijawah kukuona ujuespidernyoka zamu yako on the stage
Shusha mafoto, ukitoka wewe niitieni mzee wa blue tick yayuu Vincenzo naye atupie za Pariii 🤣🤣🤣
Sema kweli? 😂😂Mimi nipo hapa kukuona mkuu sijawah kukuona ujue
😂😁😁😁😁😁😁 Dah 😎😎spidernyoka zamu yako on the stage
Shusha mafoto, ukitoka wewe niitieni mzee wa blue tick yayuu Vincenzo naye atupie za Pariii 🤣🤣🤣
Wacha maneno weka mzikiSema kweli? 😂😂
Mimi bana kabaya kweri kweri usije kukimbia bure.!! Ww tupia nikuone bro