Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,942
Ehh babu 🫢
Kina bibi njooni huku mumuone mshefa wenu 😹😹😹
Ehh babu 🫢
Jaribu kuwa mtulivu mkuu. Samehe, shau, puuzia na maisha yaendelee. Usipende ugomvi, we mtoto wa kike utakosa mme huku. Usiwe kama kaka yako min -meEhhh!! 😹😹😹
Wanaonichokoza huwaoni??
Okay, mi makata tena nakata mbele na nyuma km msumeno yanii.!!
Hahahaha...niacheee😄😄Vipi baba chanja hajasababisha uanze kutema mateee 😂😂😂. Kwa story zako me mbavu zinaniumaga kwa kicheko
Ilaa kantriii? Napenda ngono kwa kiasi, na sio Ngono zembe.Ushatamani
Sema coca unapenda sana ngono, tena ngono zembe







Ehhh!!
Wanaonichokoza huwaoni??
Okay, mi makata tena nakata mbele na nyuma km msumeno yanii.!!





khaaaah.Tatizo nikitulia wananitafuta wenyewe, ila ss hivi sijagombana mbona mkuu…
Mi nakazia tyuu.!!![]()






Baba tamu? 😂Ilaa kantriii? Napenda ngono kwa kiasi, na sio Ngono zembe.
Nacheza Ngono Safe.![]()
Afu huwez amini, Ba tamu tuna mwaka 1 wa kufahamiana na urafiki, na miaka 2 ya mahusiano.Baba tamu?![]()






😂😂😂😂Afu huwez amini, Ba tamu tuna mwaka 1 wa kufahamiana na urafiki, na miaka 2 ya mahusiano.
Jumla miaka 3, na tumepima zaidi ya mara 5, ndo tukaanza kuzagamuanaa.
![]()
Ndugu yako blue tick imechukuliwa 🤣🤣🤣