cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Haiwezekaniii? Kwann waichukuee?Ndugu yako blue tick imechukuliwa![]()
Moders wamuachie Blue tick akee, ataliajeeee?






Haiwezekaniii? Kwann waichukuee?Ndugu yako blue tick imechukuliwa![]()






Ndio ishaenda hawawezi kuverify wajinga abaki expert tu inatosha 🤣🤣🤣Haiwezekaniii? Kwann waichukuee?
Moders wamuachie Blue tick akee, ataliajeeee?
![]()
Ndio ishaenda hawawezi kuverify wajinga abaki expert tu inatosha![]()





jomoneeeee!!!Aiyaaa mimi 😭😭 tema mate tumchape 😹😹😹jomoneeeee!!!
Mkiingia mjini muwe mnawatafuta wenyeji sio mnavamia jiji lina wenyewe![]()





khaaaahAiyaaa mimitema mate tumchape
Udugu ngoja nifanye kazi moja, hapa tutakesha mwenzio nna kazi




endeleaa na kazii uduguuu, mie nalala mapema leo.We umewaza nini Mjukuu mkorofi 😜Thubutuuuuu!!![]()
Siku hizi una misamiati migumu Mjukuu hadi Babu yenu inanishinda 🤗Ehh babu 🫢
Kina bibi njooni huku mumuone mshefa wenu 😹😹😹
Cjawazaa kituu, ingekua kwa mjukuu mkweo ningewazaa jambo moko hivii?.We umewaza nini Mjukuu mkorofi![]()
Hebu njoo uninong'oneze Babu yako, si unajua hutakiwi kumwaga Mchele kwenye Kuku wengiCjawazaa kituu, ingekua kwa mjukuu mkweo ningewazaa jambo moko hivii?.
Njoo wee nakusubiriii kuleee,Hebu njoo uninong'oneze Babu yako, si unajua hutakiwi kumwaga Mchele kwenye Kuku wengi




Njoo wee nakusubiriii kuleee,![]()
Sijui wameenda wapiMbona hamgombani
Mnakwama wp ?
Aliekuambukiza hizi mambo haendi mbinguni walai! Ni kama akaunti yako imehakiwa vile😁Sijui wameenda wapi
NakusubiriiiNakuja Mjukuu, ngoja Bibi yako anipashie Maziwa ninywe![]()




Hamna mkemia sisi ni mashahidi tuAliekuambukiza hizi mambo haendi mbinguni walai! Ni kama akaunti yako imehakiwa vile😁
Hufananii ndugu mjumbe!!! Hio sio sifa yako kabeeesaHamna mkemia sisi ni mashahidi tu