Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Vincenzo Jr mechi ishaisha njoo bana uniambie ulivyoombwa pesa na pc tajiriiiiii 🤣🤣🤣

Ila wewe ngadu una hekaheka sana ujue, ko unaombwa miutajiri yako!!
Nasikia wanakusumbua uwatumie vocha kwenye bday yako had wanalia 😹😹😹
Ahiyiiii nyie mie 😂😂😂
Nyiee jamaniiiii😁😁 em nipe summary 😂😂
Huo mzoga umefanya nini Tena...?
 
Poleni sana wanaume kama mabinti na sasa naona anamtagg dem fulani hv ipo siku atamuumbua,,
Muomba vocha anawasema wenzie wanamuomba vocha pyumbavu yeye na uk.. wake
Yule demu keshasanuka tayri ...naona kapunguza mazoea nae...
Sio kama nyuma...
 
Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaa

habari zako tunazooo,

Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa

Hukoo PM tunayooo yoteeeee.
Hee
Matajiri wa daslama wameanza kuombaomba
Kweli Dar na makapuku limbukeni ni wengi
 
Si ndo yeyee alimfataaa jamaa fulaani humu, kumuombaa msaada, afu baadae anasema, iwe siri na hakikishaa, cocastic au lammomy hamfikii, wale wabayaa sanaaa

habari zako tunazooo,

Na siku nikitibukaaaa, nawekaa waziii ulivyokua Una mnangaa BL kisa varangati lake na ephen, kuhusu uzii kuunganishwaaa

Hukoo PM tunayooo yoteeeee.
🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom