Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kibonge maneno Huwa anataka yeye yani ni mshaku naku hatariiiiii
Akiona kichwa cha mtu pahala...presha inampanda hakai kwa amani..
Mapapai yaso na soko Yana tabu😅😅💔
Bonge jipya hana na malinda hana
Kilichobaki tumpe kijora tukae naye kibarazani kusogoa
Pa kushika hana na uwanaume hana 🤣🤣🤣
 
Ngoja niselfike zangu. Hello weekend 🫶🤸‍♀️
37058500.jpg
 
Bonge jipya hana na malinda hana
Kilichobaki tumpe kijora tukae naye kibarazani kusogoa
Pa kushika hana na uwanaume hana 🤣🤣🤣
Bonge ataamani angekuwa mwanamke angekuwa ana uwezo angetoboa mlango WA mbele Maana mlango WA nyuma uko dholfu l halii😅😅
Ndo maana haishiwi makasiriko
..duniani hayup akhera hawamtambui😂😂💔
 
Shangingi kajipata halafu alianza km utani, alikuwa na kigoli chake ghafla kachukua chumba kikubwa, mara anasema nafatilia visa, ohhh kashusha mzigo wa gauni.
Hatujatulia kanunua nyumba mbagala, mara kaanza ujenzi mwanagati.

Nilivyo mpana kila nikimuhoji ananizuga, mwisho akanitolea uvivu “we mkinga usijifanye hujui km tunaforce mambo” mie enheee! Akaniambia habari ndio hiyo mjini hatuji na majembe tutalima lami??

Ndio kuniambia kashapigwa tunguli za utosi za kutosha na chale mpk mwili umekuwa km kibao cha kashata, hayo makombe kashaoga na kunywa mpk umeingia kwenye mfumo wa damu.!

Yeye kumpata yule bwana wala sio bahati mbaya “KAPAMBANA” mji mzito

Haya nawe makubwa yapi yalitaka kukuta udugu wangu? Mbona kuniweka roho juu??
uduguuuu nimechekaaa km chiziii hapaa.
Shangingiii kubutuaa komboleaaaaa,

Ntakuhadithiaaa kuleee, utachekaaa uzimieee. Woiiiiih
 
Kumekucha na nikipiga la mgambo lazima waitike awwwhh
Nasikia raha wanavyocheza beat letu, yani wakitusikia lazima Walete sura zao za “NIPIGE TAFU”
Mabonge mpo? Mabonge safi?
Vifutu je??
kumewakaaaaaa!!!!
 
Oyiii kaka bonge hivi yule muzungu hajarudi kukufata?
Visa ushakata au na passport huna?
Unapiga picha nyumba za watu huogopi?
Nasikia ukicheka miluzi inakutoka,
Wazungu wamesepa na sealed wamekuachia baridi, upepo ukipiga unazama mpk kwa bibi 😹😹😹
 
Ubwabwa ushakuja kwa meza, halafu wana wameususa.. jiangalie dada kaka utatoswa km mzamia maji baharini..
Huna jipya na linda huna oyoooooo.!!

Lazima unate na beat langu.!
weekend inaanza kuchachukaaaa,
Watu weuweeeee.
 
We ni msosi mfano wa chips maini
Ila mbishi kama nini
Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini
Unakuja bila tarehe
Unanyukwa kama mfungwa
Hauna kibanda kazi kudanga
So jitahid uwe unapanga hoja
Acha kubwabwaja mdomo unanuka
Unaji contradict sana
Unanitukana wakati unajitukana
IMG_20240824_145456_307.jpg
 
Majiraniiiiiiiiiii hukuuuuuuuuu!!!!
Mambo nayapendaaa mie hayaaaa, yaani rohoo kwatuuu.
Watuuu weuweeee!!!
 
Bonge ataamani angekuwa mwanamke angekuwa ana uwezo angetoboa mlango WA mbele Maana mlango WA nyuma uko dholfu l halii😅😅
Ndo maana haishiwi makasiriko
..duniani hayup akhera hawamtambui😂😂💔
Bonge anatamani kukata kibamia ili atupie kitumbua/

Wazungu washakula kibagia hana cha kututambia/

Mtaani tumemchoka beki hazikabi mashuzi anatujambia/
 
Back
Top Bottom