Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,856
- 82,008
Wanapenda kuchafua Uzi tu hapa ๐คฃ๐๐ tajiriiiii hawataki kuselfikaMbona watu hawaselfiki? 8 people are here wote wanasoma tu? ๐๐๐๐
Wanapenda kuchafua Uzi tu hapa ๐คฃ๐๐ tajiriiiii hawataki kuselfikaMbona watu hawaselfiki? 8 people are here wote wanasoma tu? ๐๐๐๐
Bonge jipya hana na malinda hanaIla kibonge maneno Huwa anataka yeye yani ni mshaku naku hatariiiiii
Akiona kichwa cha mtu pahala...presha inampanda hakai kwa amani..
Mapapai yaso na soko Yana tabu๐ ๐ ๐
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu Una heka heka weyeeeee.[emoji108] treeeenaahhh.!!
Dude lenyewe hilo awwwh limfikie mke mwenza wangu yoyote huko aliko, hivi kwanza hata namjua huyo mke mwenza!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bonge ataamani angekuwa mwanamke angekuwa ana uwezo angetoboa mlango WA mbele Maana mlango WA nyuma uko dholfu l halii๐ ๐Bonge jipya hana na malinda hana
Kilichobaki tumpe kijora tukae naye kibarazani kusogoa
Pa kushika hana na uwanaume hana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu nimechekaaa km chiziii hapaa.Shangingi kajipata halafu alianza km utani, alikuwa na kigoli chake ghafla kachukua chumba kikubwa, mara anasema nafatilia visa, ohhh kashusha mzigo wa gauni.
Hatujatulia kanunua nyumba mbagala, mara kaanza ujenzi mwanagati.
Nilivyo mpana kila nikimuhoji ananizuga, mwisho akanitolea uvivu โwe mkinga usijifanye hujui km tunaforce mamboโ mie enheee! Akaniambia habari ndio hiyo mjini hatuji na majembe tutalima lami?? [emoji81][emoji81][emoji81]
Ndio kuniambia kashapigwa tunguli za utosi za kutosha na chale mpk mwili umekuwa km kibao cha kashata, hayo makombe kashaoga na kunywa mpk umeingia kwenye mfumo wa damu.!
Yeye kumpata yule bwana wala sio bahati mbaya โKAPAMBANAโ mji mzito [emoji108][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya nawe makubwa yapi yalitaka kukuta udugu wangu? Mbona kuniweka roho juu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumewakaaaaaa!!!!Kumekucha na nikipiga la mgambo lazima waitike awwwhh [emoji23][emoji23][emoji23]
Nasikia raha wanavyocheza beat letu, yani wakitusikia lazima Walete sura zao za โNIPIGE TAFUโ [emoji81][emoji81][emoji81]
Mabonge mpo? Mabonge safi?
Vifutu je??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weekend inaanza kuchachukaaaa,Ubwabwa ushakuja kwa meza, halafu wana wameususa.. jiangalie dada kaka utatoswa km mzamia maji baharini..
Huna jipya na linda huna oyoooooo.!!
Lazima unate na beat langu.!
Tajiri huna baya ishi sana tajiriiiiiNgoja niselfike zangu. Hello weekend ๐ซถ๐คธโโ๏ธView attachment 3078007
Piemuni kujitupia halafu kibamia ๐น๐น[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumewakaaaaaa!!!!
Aiiiiiiiiiih!! Mambo mazitoooo hayaaa,Piemuni kujitupia halafu kibamia [emoji81][emoji81]
Hatutaki amani..amani ya kazi gani..,?Majiraniiiiiiiiiii hukuuuuuuuuu!!!!
Mambo nayapendaaa mie hayaaaa, yaani rohoo kwatuuu.
Watuuu weuweeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bonge anatamani kukata kibamia ili atupie kitumbua/Bonge ataamani angekuwa mwanamke angekuwa ana uwezo angetoboa mlango WA mbele Maana mlango WA nyuma uko dholfu l halii๐ ๐
Ndo maana haishiwi makasiriko
..duniani hayup akhera hawamtambui๐๐๐
Amaniii ya nn? Inatokaa wapiii kwaniiii?Hatutaki amani..amani ya kazi gani..,?
[emoji23][emoji23][emoji174]
Sawa uduguu ngoja tupige free style kwanza ๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu nimechekaaa km chiziii hapaa.
Shangingiii kubutuaa komboleaaaaa,
Ntakuhadithiaaa kuleee, utachekaaa uzimieee. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha et beki hazikabi...kwa hiyo break ni pumbโ๐๐Bonge anatamani kukata kibamia ili atupie kitumbua/
Wazungu washakula kibagia hana cha kututambia/
Mtaani tumemchoka beki hazikabi mashuzi anatujambia/