spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,530
Anakwambia mkuu punguza matusiNimeamua kupumzika , hivi ulishatukana mtu hadi mod anakuja pm kukutuliza?
Anakwambia mkuu punguza matusiNimeamua kupumzika , hivi ulishatukana mtu hadi mod anakuja pm kukutuliza?
Mashallah 😻😻😻😻kesho tena
View attachment 3075872
Huko pm ni kama dark web, kuna member huko huku hujawahi kuwaona... Hii jf sio poa.Hapa hapa jF au
Kweli kuna Shoga sjawah kuliona jukwaani ila lilikuja PmHuko pm ni kama dark web, kuna member huko huku hujawahi kuwaona... Hii jf sio poa.
Mimi ni huyo wa hio avatar yanguMashallah 😻😻😻😻
Hivi kumbe wewe fala muhanshamu hivi?
Awwwwh bonge la bwana 👌
Sio punguza matusi, mhurumie..Anakwambia mkuu punguza matusi
Kuna Id ilkua ina matusi humu balaa au ulikua weweSio punguza matusi, mhurumie..
Hiyo pic umeitoa wapi? Au unataka kufanya illegal fishing? 🤣🤣🤣Mimi ni huyo wa hio avatar yangu
Hapana.Kuna Id ilkua ina matusi humu balaa au ulikua wewe
Npo Italy hapa hahahaahHiyo pic umeitoa wapi? Au unataka kufanya illegal fishing? 🤣🤣🤣
Usianze za italy hapa
SaafiiiHapana.
Sinaga matusi.
Huwa nina ongea ukweli mchungu.
😂😂😂😂 Msalimie Pope FrancisNpo Italy hapa hahahaah
Vatican hio alaf vatican enyewe pope ni rafiki wa wadudu😂😂😂😂 Msalimie Pope Francis
ephen_ ameenda kwenye uzi wa lucas wa SGRHapana.
Sinaga matusi.
Huwa nina ongea ukweli mchungu.
😂😂😂 na aliyesema yuko italy naye ni mdudu aloooohVatican hio alaf vatican enyewe pope ni rafiki wa wadudu
Thanks Lady Monroe
Wewe sasa unatafta ugomvi😂😂😂 na aliyesema yuko italy naye ni mdudu alooooh
Sasa si alisema yuko italy au? 😹😹😹Wewe sasa unatafta ugomvi
Kwa saa za huku nlipo ni muda wa kuhudumia watu wa MunguSasa si alisema yuko italy au? 😹😹😹
Unajua mtu anaweza kuongea kwa codes nyie mkajua kweli yuko italy kumbe mwenzenu anamaanisha vingine (italy ya lenzi mbinuko) 🤣🤣🤣
Kesho mkuu acha nipumzike