Selfika na JF: Snap it. Show it

Awwwwh kumbe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woyoooooo.!! Welikamu baki uduguu
Nshafika na mabegi nishatuaaaa, nimejaaa teleeee
Msiyempendaaa kajaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimechoka niko hoi jana nimecheza taarabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie nimetamani had kupata mke mwenza nichambane naye [emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo niliamka na mode ya ladha ya mwambao wa pwani.
Nkavaa ujora wangu pambee, nikaanzaa weka taarabu za Sabaha Muchacho, zimenikoshajeee.

Nilipoweka ile "Debe Tupu" nilivyochachukaa utadhani nna mke mwenza kweliii.

Hatareeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…