100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,175
- 36,358
Nimeamua kupumzika , hivi ulishatukana mtu hadi mod anakuja pm kukutuliza?hii korido mida kama hii inabidi iwe vurugu
Hawa wanasema wamegonga mams moja
Hawa wamechukuliana mabwana
Hawa wanafake wapo italy kumbe wapo Kasulu
Yani tafrani