Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Labda ni kweli zake jamani umejuaje ni feki? Mi mshamba nielimishe nimeangalia hizo zake nikachukua za shoga angu hapa sioni tofautiAnajisifu na pesa fake 🤣😁😁 kanichekesha sana hadi sukari yake imepanda kajaa mbio mbio