Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,675
- 39,092
Ujue huu ni ukweli Jf toka ianze free vocha hata mada za masimango zimepumzika 😁😁😁Wii mbavu zinauma mwenzio 🤣🤣🤣🤣
JF itakuwa ya vocha threads za muhimu hazitokuwa na wachangiaji
Nasikia mpk Facebook wamesikia taarifa wamejoin wamesikia JF kuna vocha za bure