min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 47,096
- 129,610
Unajitoa eeee😁😁Zile ni special kwa ajili ya walevi😂
Unajitoa eeee😁😁Zile ni special kwa ajili ya walevi😂
Pedeshee penseliPenseli ata wa fungua wenzie line yani nimecheka 🤣🤣🤣
Ule uzi unachekesha
Unajitoa eeee😁😁
Junia ana Aunt mzuri jamani🥰🔥🔥🔥
Kama wewe kipenzJunia ana Aunt mzuri jamani🥰🔥🔥🔥
Tunasubiri somo la 💄 lipstick🔥Kama wewe kipenz
Usijali kabisaTunasubiri somo la 💄 lipstick🔥
Hawa Yu?
Wanawake wafupi wanakuwaga watam
LipsGreetings in the name of Wananchi
Muwe na siku njema wapendwa
No bad...Hawa Yu?
Nani anakuudhi sweetheart...?Kuna watu kwenye huu uzi wanalenga kunitenganisha na kipenzi changu Ila ngoja kesho niuze viazi vyangu ,nitamuhonga kila kitu hamtamuona hapa jamvini tena
Wote wanaokuita kwa lugha ya kingereza Mara hawa you ,wote nimewaonaNani anakuudhi sweetheart...?
Uza viazi sweetheart...uwakomoea ...si ndioWote wanaokuita kwa lugha ya kingereza Mara hawa you ,wote nimewaona
Kesho nitawashushia vocha hata za laki alafu nakupoteza hewani ni mwendo Bata kwenda mbeleUza viazi sweetheart...uwakomoea ...si ndio
Ukiwashushia wao voja mm unanishushia nini sweetheart...?Kesho nitawashushia vocha hata za laki alafu nakupoteza hewani ni mwendo Bata kwenda mbele