amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 2,371
- 5,354
Mkuu unatupia vyombo tu
Mkuu unatupia vyombo tu
Do the needful hata damn lipsssssssss truu😛😛💋💋💋!
Sawa swwetheart...Do the needful hata damn lipsssssssss truu😛😛💋💋💋!
Najua hakuna maneno nitakayoweza kuyaandika hapa yanayoweza kuondoa huzuni na majonzi uliyonayo.
🙏🙏Polesana tuko pamoja
Mungu azid kukupa nguvu
🙏🙏🙏Najua hakuna maneno nitakayoweza kuyaandika hapa yanayoweza kuondoa huzuni na majonzi uliyonayo.
Lakini unaweza kupata neno la Faraja lisemalo
"Naye atafuta kila chozi katika macho yao...." Ufunuo 21:4
Pole sana Mjukuu 🙏
Pole sana tayana, Mungu ni mwema siku siku zote tunapaswa kumshukuru kwa yote hata yakiwa magumu kiasi gani, pole tena na tena.
🙏🙏Pole sana tayana, Mungu ni mwema siku siku zote tunapaswa kumshukuru kwa yote hata yakiwa magumu kiasi gani, pole tena na tena.
Asante nawe pia.
Huyo samaki amenigopesha daah...
😀😀Ni sangara ila paprika hiyo rangi yake sasaHuyo samaki amenigopesha daah...